Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FirstLady1, hivi huo mti wa umeme ukianguka si vifo kadhaa hapo vitatokea!?
Thanks for your comment.
hivi mgambo wa jiji si wanazunguka sana tu bongo?
kwa nini wasiripoti hali ya miti ya umeme kama hiyo?
au kazi zao ni kupora biashara za wenzangu na mimi?
na watu wa tanesco je wako wapi?
bongo tutafika kweli kwa hali hii?
kweli bongo tambarare...
firstlady1, hivi huo mti wa umeme ukianguka si vifo kadhaa hapo vitatokea!?
thanks for your comment.
labda wanasubiri bajeti ya kunyanyua hiyo nguzo ipite...home kwetu tambarare sana
hii ni very dangerous .. Hata watu wa tanesco hawajaiona hiyo ..