Dar es Salaam: Nyumba yapigwa mnada kwa kushindwa kulipa milioni 7

Wewe hakuna alie kuzuiya kukopa kwa riba!!qur,an ndio ilio haramisha riba kwa waisilamu wewe sidhani kama unahusika katika haramu hiyo
Mwambie mwenzio ndiye alianza kuhamasisha mikopo ya ujima kwa watu wengine,
 
Niseme mara ngapi?nitakaa nanyi mpaka lini enyi wenye imani haba?

Kuwa usikope kuanzisha biashara.

Hasa hasa kwa kutegemea biashara hiyo ndo irejeshe mkopo.

Kopa kuendeleza biashara.
Uviko 19 nayo ni changamoto
 
😁😃😅😀😄
 
"Mmegeuza nyumba ya Baba yangu kuwa pango la wanyanganyi "
Kwa hili UKANISA upo wapi hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…