Dar es Salaam: Nyumba yapigwa mnada kwa kushindwa kulipa milioni 7

Ni wapi unapatikana mkopo bila riba?
 
Eti ni kanisa la wanaojiita walokole, hamuwezi kutumikia mabwana wawili, Mungu na pesa
 
Mkuu, hebu jaribu kuwa unachangia mijadala kwa namna ilivyo, bila kuingizia agenda za tofauti.
 
Hawa wajinga sijui tuwaeleze nn muelewe..
MKOPO SIO WA KUANZISHIA BIASHARA, MKOPO NI KWA AJILI YA KUENDELEZA BIASHARA..!!!asa endeleeni kujitoa fahamu mje kulia mbele..eti tunaomba mamlaka zitusaidie!!! idiot kabisa..hakuna atakusaidia hapo Kwa ujinga wako mchukua mkopo na mume wako..na ww mume inaonekana uyo mke ndio anakuongoza..
 

shida sio COVID..shida ilianza pale alipochukua mkopo Kuanzia biashara yaan starting capital..mkopo sharti uwe wa KUENDELEZA biashara ambayo Tayar ipo unajua mzunguko wake ,unajua ups down zake...


Kuchukua mkopo na Kuanzishia biashara ni risk sana kama kuvamia kambi ya jeshi!!!!!?
 
Asili ya neno riba linatoka kwenye qur,an,kwenye wisilamu mla riba amefananishwa na mwanaume anae mlela make mzazi,bora mala 100 nyumba ikauzwa kuliko kuiweka rehani kuchukua pesa ya riba,makani yamekuwa Mapango ya unyanganyi
 
Mikopo kandamizi hii
 
Nimeshuhudia mwaka huu mwanzoni ndugu yangu naye ilibakia ponya ponya nyumba yake iuzwe tukaingilia kati,ila hii ilikuwa ni taasisi ya kiserikali.Kifupi ni kuwa sidhani kama nyumba itarudishwa,kama kulikuwa na makubaliano waliingia na aliyakubali,tena kwa maandishi,sijui kama hiyo haki ataipata.Mikopo imewafanya watu wajiue,mikopo imesababisha baadhi ya watu kupata mapresha na na kisukari,mikopo imesababisha familia zikasambaratika na hata ndoa kuvunjika,inahitajika elimu kwanza kabla kuchukua na sio kukurupuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…