Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

Uislaam ni "global", Qur'an imeandikwa kiarabu, lugha kubwa kuliko zote uzijuazo.

Jee, unajuwa kuwa hata Kiswahili unachotumia asilimia kubwa ya maneno yake yametokana na Kiarabu? jiulize kwa nini?
-ndio maana ni ngumu sana kiswahili kukubalika ulimwenguni kutokana na origin yake, na maendeleo kwa lugha ya kiswahili ni ngumu sana . Kiingereza ndo mpango mzima. kiarabu bakini nacho nyinyi manaokitumia kusomea quran.
 
Tatizo lako kuu ni kuwa unaangalia kila kitu katika mtazamo wa kidini; The name Dar es Salaam has nothing to do with your religious beliefs or the Koran, ni lugha tu ya Kiarabu ikiwa na maana ya mahali salama na tulivu kwa vyombo vya majini; na Obama yuko sahihi kabisa kuita Dar es Salaam harbor of peace. Kwa lugha anayozungumza Obama, Harbor, haven, port indicate a shelter for ships, period.

  1. A harbor may be natural, artificially constructed or improved.
  2. A haven is usually a natural harbor that can be utilized by ships as a place of safety.
  3. A port is a harbor viewed especially in its commercial relations.
Mwaka 1866 Sultani Majid bin Said wa Zanzibar alianza kujenga mji mpya nje kidogo ya mji wa Mzizima (mji wa Afya Njema) na kuamua kuuita Dar es Salaam kwa lugha ya Kiarabu (Bandari ya Salama kwa Kiswahili)...Kiarabu ni lugha tu kama lugha yoyote ile; labda uniambie kwamba haiwezekani kuutofautisha Uislaam na Uarabu.

Asante sio kosa lake in matokeo ya Nagano za masjid idrissa Na mzee MS
 
-ndio maana ni ngumu sana kiswahili kukubalika ulimwenguni kutokana na origin yake, na maendeleo kwa lugha ya kiswahili ni ngumu sana . Kiingereza ndo mpango mzima. kiarabu bakini nacho nyinyi manaokitumia kusomea quran.

Hivi we unahangaika na zomba!?
 
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace" (labda iwe ung'eng'e ulinipiga chenga). Mheshimiwa kama ulitafsiriwa hivyo, wamekosea watafsiri wako, kama ni wewe mwenyewe, kwani naelewa kuwa unakijuwa Kiswahili kwa kiasi fulani, basi umekosea.

Maana halisi ya Dar Es Salaam, ni ngumu sana kuitafsiri ikiwa huupendi Uislaam na umeaminishwa na wabaguzi wa ujinga, kwani Dar Es Salaam inapatikana ndani ya Qur'an ikimaanisha ni moja kati ya pepo au kwa maulamaa wengine, moja kati ya milango ya kuingilia peponi "Baab Dar as Salaam", kwa maana moja au nyingine inamaanisha "haven of Peace" au "Nyumba" ya amani au kwa maana halisi "Pepo" ya amani.

Aliyekufunda kuwa Dar Es Salaam ni "Habour of Peace" hakukutendea haki wewe wala hakututendea haki sisi wa Dar Es Salaam.

Kwa kusherehesha; Dar Es Salaam si jina geni kwa miji ya duniani na haikuanzia hapa kwetu, kuna nchi nyingi ambazo zina majina ya majiji au miji iitwayo hivyo kwa lafdhi tofauti, maarufu ni Jerusalem, ina maanisha hivyo-hivyo. Nyingine ni Darussalaam, iliyopo Brunei, Ni hiyo hiyo, kama yetu tu.

Mnhhh mnhhh!

Karibu mgeni wetu.

Acha uzombi
 
Jee, unajuwa kuwa ukoo wa Nyerere una "matatizo ya kiafya/kiakili" ya ukoo? Kama hujui muulize Andrew Nyerere.

Jee, "udini" ndio nini?

Hiyo ni kweli anavyosema Zomba,kuna matatizo katika familia ya Nyerere ya watu kwenda in and out of mental hospitals. Lakini sidhani kama tatizo ni genetic,sidhani kama ni matatizo ya DNA. Sijui tatizo ni nini. Na kama hivi nimekuja Butiama kumpumzika siku chache, anything can happen kule Msasani.
Ulinzi pale Msasani wangekuwa more serious,wangeweka CCTV,photoelectric cells and such state of the art equipment.
 
Mwaka mmoja kabla sijaoa nilikuwa na akili kama za zomba, kila kitu ilikuwa ni kulaumu watu wengine the way Nyerere analaumiwa na Zuzu zomba. Wengine walinichukia, lkn yupo mtu mmoja mzungu alinishauri jambo likanifaa.
zomba, go have sex! You need to relax man
 
Last edited by a moderator:
Huelewi unachokiandika kuwa ubaguzi wa ujinga.

Nna uhakika hujui maana ya dini. Ukitaka kupata darsa kuhusu maana ya "dini" uliza.

Toka post yako ya kwanza tu ulipoanza kutiririka nimegundua kwamba issue ya Dar ea salaam ni swaga tu za kuingilia ukumbini ila lengo lako kuu ni hapo penye red.
 
Toka post yako ya kwanza tu ulipoanza kutiririka nimegundua kwamba issue ya Dar ea salaam ni swaga tu za kuingilia ukumbini ila lengo lako kuu ni hapo penye red.

Jee, una lingine zaidi, hujafaidika na darsa kuelewa kuwa hata Jerusalem ni Dar Es Salaam?
 
Mwaka mmoja kabla sijaoa nilikuwa na akili kama za zomba, kila kitu ilikuwa ni kulaumu watu wengine the way Nyerere analaumiwa na Zuzu zomba. Wengine walinichukia, lkn yupo mtu mmoja mzungu alinishauri jambo likanifaa.
zomba, go have sex! You need to relax man

"Baniani mbaya kiatu chake dawa", wazungu hao hao mnawaponda eti wanawaibia madini yenu halafu hao hao wakiwapa ushauri wa ngono mnaukubali. Khatar kubwa.
 
Kiingereza kinapanda kuliko baba'ko, kama unabisha anza!

mmh...kama kingekuwa kinapanda nafikiri ingeonekana tangu awali!! au tusaidie sisi wengine, can you please convert your post into English?
 
Unashindwa kujibu kwasababu umegundua hukufahamu kwamba hizo sentensi mbili hazina tofauti,ama tafsiri yako hii ni ya kuraani?

Inaonesha mpaka sasa hujaelewa kuwa tafsiri aliyoitumia Obama ni ya Kifarsi aka Kiajemi na aliyetoa jina Dar Es Salaam ni Mwaarabu na neno hilo Kiarabu maana yake ni nyingine.
 
-ndio maana ni ngumu sana kiswahili kukubalika ulimwenguni kutokana na origin yake, na maendeleo kwa lugha ya kiswahili ni ngumu sana . Kiingereza ndo mpango mzima. kiarabu bakini nacho nyinyi manaokitumia kusomea quran.

Nani aliyekudanganya kuwa Kiswahili hakikubaliki Ulimwenguni? rudi darasani kwa mara nyingine, aliyekuaminisha hivyo kakudanganya, kakujaza ubaguzi wa ujinga.
 
Hapa NYERERE kaingiaje????? ndo maana wewe tunasema ni MDINI,Inaonekaa umemuigiza Nyerere kwa sababu ya DINI YAKE

Hapo nilikuwa namfahamisha kuwa kuwa na matatizo ya kiafya/akili si tatizo hata kina Nyerere wana matatizo hayo na wametoa Rais. Aliongelea matati ya kifya/kiakili kama vile ni laana wakati huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine na unatibika na asiendeleze unyanyapaa.
 
Kwani wakati wa Nyerere watanzania walikuwa wangapi na sasa hivi watz ni wangapi? Unafanya comparison gani?? Wale walisoma bure, wa sasa wanakopeshwa tena kwa mbinde ukiwa mwalimu poa, ukiwa Economist imekula kwako.....

Hakuna aliyesoma bure, usijidanganye.

Hata wawe wangapi wakati wake na wakati huu wangapi, piga hesabu mpaka za vidole na miguu. Kikwete juu zaidi.
 
Hiyo ni kweli anavyosema Zomba,kuna matatizo katika familia ya Nyerere ya watu kwenda in and out of mental hospitals. Lakini sidhani kama tatizo ni genetic,sidhani kama ni matatizo ya DNA. Sijui tatizo ni nini. Na kama hivi nimekuja Butiama kumpumzika siku chache, anything can happen kule Msasani.
Ulinzi pale Msasani wangekuwa more serious,wangeweka CCTV,photoelectric cells and such state of the art equipment.

Pole mkuu, kumbe mna matatizo ya akili kama alivyo tanabaisha zomba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom