Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

Uislaam ni "global", Qur'an imeandikwa kiarabu, lugha kubwa kuliko zote uzijuazo.

Jee, unajuwa kuwa hata Kiswahili unachotumia asilimia kubwa ya maneno yake yametokana na Kiarabu? jiulize kwa nini?
-ndio maana ni ngumu sana kiswahili kukubalika ulimwenguni kutokana na origin yake, na maendeleo kwa lugha ya kiswahili ni ngumu sana . Kiingereza ndo mpango mzima. kiarabu bakini nacho nyinyi manaokitumia kusomea quran.
 
Asante sio kosa lake in matokeo ya Nagano za masjid idrissa Na mzee MS
 
Soma vizuri post namba moja.

Unashindwa kujibu kwasababu umegundua hukufahamu kwamba hizo sentensi mbili hazina tofauti,ama tafsiri yako hii ni ya kuraani?
 
-ndio maana ni ngumu sana kiswahili kukubalika ulimwenguni kutokana na origin yake, na maendeleo kwa lugha ya kiswahili ni ngumu sana . Kiingereza ndo mpango mzima. kiarabu bakini nacho nyinyi manaokitumia kusomea quran.

Hivi we unahangaika na zomba!?
 
Acha uzombi
 
Jee, unajuwa kuwa ukoo wa Nyerere una "matatizo ya kiafya/kiakili" ya ukoo? Kama hujui muulize Andrew Nyerere.

Jee, "udini" ndio nini?

Hiyo ni kweli anavyosema Zomba,kuna matatizo katika familia ya Nyerere ya watu kwenda in and out of mental hospitals. Lakini sidhani kama tatizo ni genetic,sidhani kama ni matatizo ya DNA. Sijui tatizo ni nini. Na kama hivi nimekuja Butiama kumpumzika siku chache, anything can happen kule Msasani.
Ulinzi pale Msasani wangekuwa more serious,wangeweka CCTV,photoelectric cells and such state of the art equipment.
 
Mwaka mmoja kabla sijaoa nilikuwa na akili kama za zomba, kila kitu ilikuwa ni kulaumu watu wengine the way Nyerere analaumiwa na Zuzu zomba. Wengine walinichukia, lkn yupo mtu mmoja mzungu alinishauri jambo likanifaa.
zomba, go have sex! You need to relax man
 
Last edited by a moderator:
Huelewi unachokiandika kuwa ubaguzi wa ujinga.

Nna uhakika hujui maana ya dini. Ukitaka kupata darsa kuhusu maana ya "dini" uliza.

Toka post yako ya kwanza tu ulipoanza kutiririka nimegundua kwamba issue ya Dar ea salaam ni swaga tu za kuingilia ukumbini ila lengo lako kuu ni hapo penye red.
 
Toka post yako ya kwanza tu ulipoanza kutiririka nimegundua kwamba issue ya Dar ea salaam ni swaga tu za kuingilia ukumbini ila lengo lako kuu ni hapo penye red.

Jee, una lingine zaidi, hujafaidika na darsa kuelewa kuwa hata Jerusalem ni Dar Es Salaam?
 
"Baniani mbaya kiatu chake dawa", wazungu hao hao mnawaponda eti wanawaibia madini yenu halafu hao hao wakiwapa ushauri wa ngono mnaukubali. Khatar kubwa.
 
Kiingereza kinapanda kuliko baba'ko, kama unabisha anza!

mmh...kama kingekuwa kinapanda nafikiri ingeonekana tangu awali!! au tusaidie sisi wengine, can you please convert your post into English?
 
Unashindwa kujibu kwasababu umegundua hukufahamu kwamba hizo sentensi mbili hazina tofauti,ama tafsiri yako hii ni ya kuraani?

Inaonesha mpaka sasa hujaelewa kuwa tafsiri aliyoitumia Obama ni ya Kifarsi aka Kiajemi na aliyetoa jina Dar Es Salaam ni Mwaarabu na neno hilo Kiarabu maana yake ni nyingine.
 
-ndio maana ni ngumu sana kiswahili kukubalika ulimwenguni kutokana na origin yake, na maendeleo kwa lugha ya kiswahili ni ngumu sana . Kiingereza ndo mpango mzima. kiarabu bakini nacho nyinyi manaokitumia kusomea quran.

Nani aliyekudanganya kuwa Kiswahili hakikubaliki Ulimwenguni? rudi darasani kwa mara nyingine, aliyekuaminisha hivyo kakudanganya, kakujaza ubaguzi wa ujinga.
 
Hapa NYERERE kaingiaje????? ndo maana wewe tunasema ni MDINI,Inaonekaa umemuigiza Nyerere kwa sababu ya DINI YAKE

Hapo nilikuwa namfahamisha kuwa kuwa na matatizo ya kiafya/akili si tatizo hata kina Nyerere wana matatizo hayo na wametoa Rais. Aliongelea matati ya kifya/kiakili kama vile ni laana wakati huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine na unatibika na asiendeleze unyanyapaa.
 
Kiingereza kinapanda kuliko baba'ko, kama unabisha anza!

Umerudi toka likizo karibu sana mwana Daslam sie wa Makunduchi historia yetu haiandikwi.
 
Kwani wakati wa Nyerere watanzania walikuwa wangapi na sasa hivi watz ni wangapi? Unafanya comparison gani?? Wale walisoma bure, wa sasa wanakopeshwa tena kwa mbinde ukiwa mwalimu poa, ukiwa Economist imekula kwako.....

Hakuna aliyesoma bure, usijidanganye.

Hata wawe wangapi wakati wake na wakati huu wangapi, piga hesabu mpaka za vidole na miguu. Kikwete juu zaidi.
 
Pole mkuu, kumbe mna matatizo ya akili kama alivyo tanabaisha zomba
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…