zygo
New Member
- Nov 11, 2017
- 2
- 4
WanaJamii,
Kama mlivyosoma hapo juu,tunawaletea zygoInc website.
Zygo inc ni nini?
ZygoInc ni website ambayo itakuwezesha kutafuta pahala au sehemu yoyote ndani ya mkoa wa Dar na mikoa jirani.Kwa mfano,ofisi za serikali,tasisi,restaurant,malls,maduka,atm,car parkings,hotels na mambo mengi mengi.
Zygo ni kwaajili ya nani?
Kama wewe ni mfanyabiashara,zygo inakuwezesha ku-claim biashara yako au ofisi yako popote ulipo.Zaidi,unauwezo wa kuweka contacts zako na sehemu ulipo kwa kutumia google maps. Pia picha,video,website yako au social media links zote za biashara yako sehemu moja. Kwa ufupi,zygo inakupa page moja kwaajili ya biashara yako.Hii itakusaidia watu kukupata kirahisi kwa mara moja pale wanapokuwa wantaka huduma zako.
Mfano,unataka ice-cream- zygo itakupa list ya ice cream shops zilizokaribu na wewe.
Wateja pia watakuwa na uwezo wa kutoa maoni ya kile wanachokifikiria kuhusu biashara yako. Kama wanapenda huduma zako au sio.
Utafanyaje biashara yako iwepo kwenye zygo?
Nenda www.zygo.website halafu Sign up kutumia google account yako au facebook account yako.Halafu,nenda
ADD LISTING.
Utapata kuchagua option ambayo inakufaa zaidi. Halafu,jaza form na maeleozo zaidi kuhusu biashara yako. Ukimaliza submit form yako.
Zygo watawasiliana na wewe baada ya kusubmit biashara yako online.
Kama wewe ni mfanyabiashara au taasisi/ ofisi za serikali, basi jisajili hapa www.zygo.website.
Karibuni zygo kwa maendeleo yetu sote na Nchi yetu Tanzania.
Nitajibu maswali kwa wale wote wanaohitaji huduma zetu.
instagram: zygoinc
twitter:zygoinc
facebook.
Ahsanteni.