DAR ES SALAAM: POLISI WAMWAGWA MITAANI

Hizi kazi za upolisi zinaukichaa fulani.sasa unazuia maandamano ya amani ya kupinga watu kuuwawa Ina maana unataka watu waendelee kuuwawa?kazi ya polisi ni kulinda raia na Mali zao na siyo kuzuia wapigania haki
 
Mm nashangaa mbona maandamano ya juzi hapa waliruhusu na hakuna kibaya kilitokea kwa nini haya ya sasa hawataki?
 
Ila leo nilikua maeneo ya tabata yalipita kama manne kwa wakati tofauti yamewajaza wazee wa saree nikajisemea hhiiiiiiiii.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…