Dar es Salaam: Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi

Safi mama piga kazi, huku kwenye siasa bado kidogo turekebishie watu wanateseka magelezani kisa siasa !! ilifikia kiwango ukisema wewe ni mpinzani basi shimo la tewa ni halali yako, unahukumiwa mateso au hata kifo ukiwa unajiona huku ukiacha familia yako ikiteseka - tulifika pahala pabaya mno.
 
ukute mkeo hata kwenye sex anakaa juu na bado unajisifu...mfumo dume ni mfumo hadi vitabu vya dini we feminist...usipelekwe pelekwe na waliberali
 
Mkuu nchi hii unaweza ukafa kwa moyo ukiishupalia sana. Kuna muda mimi nilifika nkasema Mungu kanibariki na kakipato kangu naweza tunza watoto wangu na naweza kula inatosha kujibebesha mizigo mizito kichwani. Yaani tunarudi nyuma sana, tulikokuwa tumeshinda. Mimi huwa naangalia facts na si maneno. Naona tunarudi walikotoka wenzetu. Tunashikiwa akili. Sipingi Chanjo kwa haraka haraka kwasababu hata Serikali ya Rais Magufuli ilisema mpaka wajiridhishe kwanza. Sasa tumeshajiridhisha?

Mimi kitu ambacho kilikuwa ni kilio changu ni kwamba tuliacha kunawa mikono kama ilivyokuwa lazima pale Mwanzoni. Na kujazana kwenye makumbi na sehemu mbalimbali. Mimi niliumwa corona. Ilinitesa sana for a month. Tahadhali tusiache na pia tusiache elimisha wananchi wetu ila tusiwapanikishe. Approach ya JPM kipindi kile ilitusaidia sana kunusuru uchumi wetu.

Mimi nina mtazamo ufutao, Serikali ikazane kuongeza Budget ya Tafiti za Magonjwa kama mataifa makubwa yalivyo. Tuanze na Sisi. Cuba licha ya kuwa ni taifa dogo, ila lina madaktari bingwa sana ambao wametawanyika Duniani kupigana na Covid 19. Walienda mpaka Europe, South Africa pia.

Kama tunataka kujitegemea kweli tuanze kukazana na vituo vya tafiti vya magonjwa ya Binadamu. Serikali iwe na mpango kabambe. Inatakiwa siku itokee Gonjwa fulani likitokea na sisi tunaiambia dunia tumegundua kitu fulani. Inawezakana, tuanze kidogo, wajukuu wetu watakuja kutupongeza.

Nchi yetu tafiti za mambo mengi zipo nyuma sana. Professor Muhongo, alisema bila kufanya tafiti hatuwezi fanya fanikiwa mambo mengi.
Tafiti za kuhusu uchumi ni hafifu, Dawa ni hafifu, tafiti za elimu ni hafifu, tafiti za biashara ni hafifu, tafiti za kuhusu kodi ni hafifu, tafiti kuhusu Demokrasia ni hafifu. Kila kitu ni hafifu bado.

Kama taifa tukubali kuanza chini kwa kutenga Bajeti za Tafiti, kama tulianza tuongeze bajeti. Polepole tutafika huko. Tusipende kutafta majibu rahisi rahisi tu. Tuumize vichwa.

Tanzania yetu tunakupenda kwa moyo wote. You are our mother land.
 
ukute mkeo hata kwenye sex anakaa juu na bado unajisifu...mfumo dume ni mfumo hadi vitabu vya dini we feminist...usipelekwe pelekwe na waliberali
NONSENSE....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…