''Dar es salaam Si pazuri Lakini kuna vizuri na maajabu ya ajabu''

asanteelimu2016

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
235
Reaction score
127
1. Barabara mchana magari usiku huwa soko.
2. Stendi mchana usiku huwa hotel i
3. Mhindi wa kuchoma hutiwa limau na pilipili.
4. Aliyesitiri mwili kwa mavazi huitwa mshamba mwenye maungo
nje huitwa wa Kileo.
5. Matusi ni sehemu ya utamaduni. 6. Sahani ya wali hupatikana
kwa hata sh. 500.
7. Wanaume nao husuka nywele na kutia hina.
8. Mzee huitwa kitafunio kijana ni chai ya tangawizi.
9. Hashishi ni zao la mji kukojoa hadharani ni ujanja.
10. Salamu makelele heshima pesa yako.
11. Watu wote wako busy ukiwajuza kuwa unatoka mikoani
hukukaribisha kwa mbwembwe ukifika watakuambia niko busy
nitakutafuta. Kisha kupotezea... ukiwajibu ulikuwa Dar utasikia
ahhh kwa nini hukuningona tule hata.
12. Miguu ya kuku na utumbo huisha Kabla ya kuku mzima kuuzwa
mezani.
13. Dalali ananguvu kuliko mwenyemali.
14. --yapo mengi. Malizia nawewe....!!!!
Yapo mengi.
 
Ukikuta sehemu wanaume una discuss wanaume wenzio ujue unawalakini! Ngoja waje waa wa darsalaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…