Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)

Well said bro..
 

Teh teh teh smatta umekuwa muhenga sasa, insteady of focusing on unpaying competition let's focus on how to unleash the eac available potentials.
I like the way you concluded.
 
I like the last paragraph
 
Teh teh teh smatta umekuwa muhenga sasa, insteady of focusing on unpaying competition let's focus on how to unleash the eac available potentials.
I like the way you concluded.

Mkuu Eliakeem unajua mimi na wewe tumeanza ubishi hapa JF karibia miaka kumi sasa, kuna alot of opportunities we have lost kwa kuwa huwa hatujaribu ku form connections and networks huku kwenye hii ligi yetu. Tunaburuzana tu na kudanganya watoto wanaojiunga upya jinsi waKenya wanawachukia wa Bongo and viceversa, ilhali hatuwaambii kuwa mkenya akija bongo atafanya kazi zake bila kusumbuliwa na atapiga hela ninavyopiga mimi binafsi kwenye taasisi mbalimbali za serikali na za kibinafsi hapo bongo, vijana wa kitanzania wamedanganywa kuwa Kenya kuna ubaguzi na chuki dhidi ya watanzania ilhali watu wanaoeneza huo uvumi huwa wanasafiri Kenya kila mara na kupiga kazi na marafiki zao huku Nairobi.
Labda ntakuwa nadanganya lakini potential ya vijana wetu kufanya biashara pamoja, ama wao kutembeleana na kuonyeshana miji hii yetu mizuri itabadilisha topics za discussion na jinsi watu wanavyo jadili mambo tofauti hapa. ikue our little thing (cosa nostra).
Mimi na marafiki zangu huwa tunaalikwa Arusha kila mwaka kwa kuwa huwa tunacheza mpira ya wazee fc, I've made friends for life na hao ndugu zangu wa Dar na Arusha, na yote hii ilitoka na kujuana kwenye conferences. Tusichukiane aise, tu create connections ambazo hata watoto wetu watazitumia.

Angalia hii hapa schedule ya July, Arusha wali tu host, tuliwaalika April nao wakaja na familia zao ikatubamba kabisa.

 
thanx
 
Abakuru! Welcome again. If you are still in Dar, check me inbox and I will take you to places!
 
Wakenya kiukwel mnanichekesha kwahyo mlichoona apo Ni flied tu *****
 
Hahaha are you trying to tell us that Tanzanian boys have no much courage to express their feelings to you??? Anyway just have a good stay in Dar. time will tell
 

Brother you have concluded it. Mimi sina la kuongeza zaidi ya kusema Tz and Ke and other African countries are brothers and sisters. Tubadilishe mitazamo yetu. tungalie fursa zilizopo badala ya kuchukiana bila sababu za msingi.
 
thank u for your compliments
 
nimependa comment yako na inaonesha kweli umezeeka maana league kama hizi ulikuwa unazipenda sana but all in all hii ndo imelifikisha jukwaa la kenya lilipofika

kiukweli kila kitu kina madhara na faida zake na hii inategemea mtazamo binafsi...kupitia jukwaa hili nimeijua Kenya na watu wake pamoja na fursa zilizopo huko ingawa nimeshakutana na wakenya kadhaa kabla hata sijaijua jf , imenisaidia pia kuijua Tanzania kwa uzuri wake na pia ubaya wake na ni kipi tufanye ili tuvuke tulipo ...

i have learnt a lot nd i can never hate a person simply coz of things i read here maana sometimes people do it for fun nd you cant take it serious ... kingine watanzania na wakenya tupo karibu zaidi ndio maana tunapata points za argument na hili utaliona Uganda forum maana limepoa ...
I like diversity nd i think this is one of the best forum in jf that embrace it ..EAC FOR LIFE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…