Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)

First things first, huyu sio Mkenya wala Mnyarwanda alivyotaka kutudanganya, ni mbongo tu wa kawaida, hakuna mrwanda anasema flied chiken mkuu, PERIOD. amesema hapo juu kuwa kigali mwisho wa kutoka njee ni saa tatu, nikacheka tu, hakuna haja ya kudanganya watu aise, hujafika Kigali wala Nairobi kama unasema we have old fly overs and interchanges wakati huwa tuna launch hizi barabara za juu kila baada ya miezi kadhaa.

Binafsi nimekuwa Tanzania kwanzia August, nimerudi Nairobi probably 2 weeks back, nimekuwa nikifanya consultancy pale PSPF, jumba la Golden Jubilee 11th na 13th floor. Nimefanyia serikali ya Rwanda pale Rwanda Development Board Kigali, kazi miaka mbili consultancy nikija Nairobi twice every month kwa kuwa kazi hiyo ilikuwa very sensitive and urgent.
uganda, Ethiopia (nilikuwa feasibility study huu mwaka), somaliland (Hargeisa pia nikifanya consultancy) na Burundi pia nina mizizi na bado tunapasua zaidi. Mimi si mgeni kabisa nchi yoyote East Africa, Kabsaaa..

Experience yangu ya Bongo huwa nzuri sana, kwa kuwa nikama home tu. nikiwa dar lazima nipitie samaki samaki Dar pale Diamond plaza coz that's the only good restaurant that serves beer at all hours na kuna wifi, usije ukadanganywa na yeyote kuwa utaingia kwa any restaurant ama public transport upate wifi kama Kenya ambapo wifi iko kila pahali. accomodation is very affordable, Uber kule bado haijakubalika sana, unaeza ukangoja sana kabla upate gari, chakula chao kizuri, madame kama kawa huwa wantupenda ballers kutoka Kenya, hio haina ishu.

I advice all you young folks, both Kenyans and Tanzanians, who religiously come here for your daily dick measuring contests, Instead of creating rifts and hate between each other, you can build connections and do businesses far beyond your thoughts. We have alot going on for our countries, please don't be left behind, let no one lie to you that the other side hates you. Jaribu kujuana na hawa ndugu zetu kutoka pande zote, jaribu kuangalia opportunities zilizokuwepo na vipi tutazichangamkia, that is the East African spirit. Lets Build, Not Destroy.
Well said bro..
 
Teh teh teh smatta umekuwa muhenga sasa, insteady of focusing on unpaying competition let's focus on how to unleash the eac available potentials.
I like the way you concluded.
 
I like the last paragraph
 
Teh teh teh smatta umekuwa muhenga sasa, insteady of focusing on unpaying competition let's focus on how to unleash the eac available potentials.
I like the way you concluded.

Mkuu Eliakeem unajua mimi na wewe tumeanza ubishi hapa JF karibia miaka kumi sasa, kuna alot of opportunities we have lost kwa kuwa huwa hatujaribu ku form connections and networks huku kwenye hii ligi yetu. Tunaburuzana tu na kudanganya watoto wanaojiunga upya jinsi waKenya wanawachukia wa Bongo and viceversa, ilhali hatuwaambii kuwa mkenya akija bongo atafanya kazi zake bila kusumbuliwa na atapiga hela ninavyopiga mimi binafsi kwenye taasisi mbalimbali za serikali na za kibinafsi hapo bongo, vijana wa kitanzania wamedanganywa kuwa Kenya kuna ubaguzi na chuki dhidi ya watanzania ilhali watu wanaoeneza huo uvumi huwa wanasafiri Kenya kila mara na kupiga kazi na marafiki zao huku Nairobi.
Labda ntakuwa nadanganya lakini potential ya vijana wetu kufanya biashara pamoja, ama wao kutembeleana na kuonyeshana miji hii yetu mizuri itabadilisha topics za discussion na jinsi watu wanavyo jadili mambo tofauti hapa. ikue our little thing (cosa nostra).
Mimi na marafiki zangu huwa tunaalikwa Arusha kila mwaka kwa kuwa huwa tunacheza mpira ya wazee fc, I've made friends for life na hao ndugu zangu wa Dar na Arusha, na yote hii ilitoka na kujuana kwenye conferences. Tusichukiane aise, tu create connections ambazo hata watoto wetu watazitumia.

Angalia hii hapa schedule ya July, Arusha wali tu host, tuliwaalika April nao wakaja na familia zao ikatubamba kabisa.

ball.jpg
 
Are a researcher or tourist,,? seems like all you you've doing in dar es salaam is observing everything.. Mmmmh you should as well visit ather cities in Tanzania like mwanza or mbeya they are as well nice.. Enjoy your staying in dar lady [emoji147] [emoji147]
thanx
 
Abakuru! Welcome again. If you are still in Dar, check me inbox and I will take you to places!
 
Wakenya kiukwel mnanichekesha kwahyo mlichoona apo Ni flied tu *****
 
Hahaha are you trying to tell us that Tanzanian boys have no much courage to express their feelings to you??? Anyway just have a good stay in Dar. time will tell
 
Mkuu Eliakeem unajua mimi na wewe tumeanza ubishi hapa JF karibia miaka kumi sasa, kuna alot of opportunities we have lost kwa kuwa huwa hatujaribu ku form connections and networks huku kwenye hii ligi yetu. Tunaburuzana tu na kudanganya watoto wanaojiunga upya jinsi waKenya wanawachukia wa Bongo and viceversa, ilhali hatuwaambii kuwa mkenya akija bongo atafanya kazi zake bila kusumbuliwa na atapiga hela ninavyopiga mimi binafsi kwenye taasisi mbalimbali za serikali na za kibinafsi hapo bongo, vijana wa kitanzania wamedanganywa kuwa Kenya kuna ubaguzi na chuki dhidi ya watanzania ilhali watu wanaoeneza huo uvumi huwa wanasafiri Kenya kila mara na kupiga kazi na marafiki zao huku Nairobi.
Labda ntakuwa nadanganya lakini potential ya vijana wetu kufanya biashara pamoja, ama wao kutembeleana na kuonyeshana miji hii yetu mizuri itabadilisha topics za discussion na jinsi watu wanavyo jadili mambo tofauti hapa. ikue our little thing (cosa nostra).
Mimi na marafiki zangu huwa tunaalikwa Arusha kila mwaka kwa kuwa huwa tunacheza mpira ya wazee fc, I've made friends for life na hao ndugu zangu wa Dar na Arusha, na yote hii ilitoka na kujuana kwenye conferences. Tusichukiane aise, tu create connections ambazo hata watoto wetu watazitumia.

Angalia hii hapa schedule ya July, Arusha wali tu host, tuliwaalika April nao wakaja na familia zao ikatubamba kabisa.

View attachment 596702

Brother you have concluded it. Mimi sina la kuongeza zaidi ya kusema Tz and Ke and other African countries are brothers and sisters. Tubadilishe mitazamo yetu. tungalie fursa zilizopo badala ya kuchukiana bila sababu za msingi.
 
I got an invitation from my friend, i visted her in dar es salaam, life is good, city is good too
Accommodation is easy to find, plenty of estate agents everywhere, prices for apartments range from 150,000 tzsh per month for a room in a kinondoni area, mwanamboka, flat with no kitchen and tolilet facilities to 80,000 per month for a chick 2-bed apartment with parking. One month to 3-month deposit required, people told me that every year or two (depending on contract) rent goes up a lot so people are forced to change accommodation often or pay over the odds.
Foreigners usually go for swimming sun rise beach in kigamboni, kunduchi also, I also attended cinema at Mliman city,
Dar es salaam night life
what made me happy is concerning with safety and security, people moves all the night without being disturbed,(In Kigali you must be at your home exactly 9 pm not beyond,) last Friday I and friends attended music concert at MK bar and Meridian Pub , sweet life over there,Tanzanians are really enjoying life,
Good enough Tanzanian boys are not courageous to follow a lady to express feelings, what they do is just pointing fingers towards sweet ladies passing around,
Around sinza we visited corner bar , that area if full of shit of messing up with Gods' rules, but near the bar we got some fried chicken and i also tried one beer tusker for my first time,
we moved on to another side i think is mandela road, this is full of small bars ,
what i really noticed (most of bar attendants are ladies no boys) i think boys are selective,
Also am planning next Friday to tour around manzese to tabata
Transport - get a motorbike, that's the most convenient transport method here. Car is definitely not convenient due to traffic jam in local and feeder roads, but ireally appreciate BRT buses remind me when i was in Brussels last year, it is to cheap to travel by means of bus transport
Ferry- people living in kigamboni (other side of the city) normally use MV Magononi to cross Indian ocean
Actractive areas
Avic city kigamboni, woww thats waaaw the city is soo good, no any part of city resemble that in east and central Africa,
I normal visit other cities but in east africa no city like Dar es salaam,
people will urgue basing on kigali, kigali is just small can not even be compared to kinondoni, the good thing about kigali is cleanless of city,
Nairobi their most attractive part is westland and parkland near west gates, to be honest dar es salaam is a modern city, but that ares can not be compared to masaki or other parts like avic city,
mode of transport in Nairobi is fusos cut to be buses you cant imagine no good transport in Kenya(intercity transport),
only things they have old flyovers which are not well maintained giving bad smell, you cant compare ubungo flyover with any of other countries in east africa, i was been in Burundi, kampala hahaha is just (katogo) means mixture of shits over there,
I will be coming again and again,
But most of Tanzanians are lazy like Rwandeese not like kenyans
thank u for your compliments
 
Mkuu Eliakeem unajua mimi na wewe tumeanza ubishi hapa JF karibia miaka kumi sasa, kuna alot of opportunities we have lost kwa kuwa huwa hatujaribu ku form connections and networks huku kwenye hii ligi yetu. Tunaburuzana tu na kudanganya watoto wanaojiunga upya jinsi waKenya wanawachukia wa Bongo and viceversa, ilhali hatuwaambii kuwa mkenya akija bongo atafanya kazi zake bila kusumbuliwa na atapiga hela ninavyopiga mimi binafsi kwenye taasisi mbalimbali za serikali na za kibinafsi hapo bongo, vijana wa kitanzania wamedanganywa kuwa Kenya kuna ubaguzi na chuki dhidi ya watanzania ilhali watu wanaoeneza huo uvumi huwa wanasafiri Kenya kila mara na kupiga kazi na marafiki zao huku Nairobi.
Labda ntakuwa nadanganya lakini potential ya vijana wetu kufanya biashara pamoja, ama wao kutembeleana na kuonyeshana miji hii yetu mizuri itabadilisha topics za discussion na jinsi watu wanavyo jadili mambo tofauti hapa. ikue our little thing (cosa nostra).
Mimi na marafiki zangu huwa tunaalikwa Arusha kila mwaka kwa kuwa huwa tunacheza mpira ya wazee fc, I've made friends for life na hao ndugu zangu wa Dar na Arusha, na yote hii ilitoka na kujuana kwenye conferences. Tusichukiane aise, tu create connections ambazo hata watoto wetu watazitumia.

Angalia hii hapa schedule ya July, Arusha wali tu host, tuliwaalika April nao wakaja na familia zao ikatubamba kabisa.

View attachment 596702
nimependa comment yako na inaonesha kweli umezeeka maana league kama hizi ulikuwa unazipenda sana but all in all hii ndo imelifikisha jukwaa la kenya lilipofika

kiukweli kila kitu kina madhara na faida zake na hii inategemea mtazamo binafsi...kupitia jukwaa hili nimeijua Kenya na watu wake pamoja na fursa zilizopo huko ingawa nimeshakutana na wakenya kadhaa kabla hata sijaijua jf , imenisaidia pia kuijua Tanzania kwa uzuri wake na pia ubaya wake na ni kipi tufanye ili tuvuke tulipo ...

i have learnt a lot nd i can never hate a person simply coz of things i read here maana sometimes people do it for fun nd you cant take it serious ... kingine watanzania na wakenya tupo karibu zaidi ndio maana tunapata points za argument na hili utaliona Uganda forum maana limepoa ...
I like diversity nd i think this is one of the best forum in jf that embrace it ..EAC FOR LIFE
 
Back
Top Bottom