Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)

Hawa Wanyarwanda walioanza kujifunza kiingereza juzi ndo wawazidi Watanzania? You ain't serious
 
You taste Tusker for the first time in Dar and you claim you have been to Nairobi, peleka ujinga na uongo mbali.
Kwahiyo ukiwa Kenya lazima unywe tusker? no other beer
 
Jamani sometimes tuache kusifia ujinga...Dar es Salaam what?🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Ok most ya wa Tz own houses so their is lil investment in that aspect huko kwenu asilimia 90 ya wakazi ni renters , mbali na apartment kipi chengine kina unafuu huko kwenu. Naomba usikimbie
 
Be careful with you last statement,we not lazy just that we aren’t proactive enough like Kenya! You know what I mean? Hatuna kiherere km wakikuyu,wakalenjiii etc.
 
Ok most ya wa Tz own houses so their is lil investment in that aspect huko kwenu asilimia 90 ya wakazi ni renters , mbali na apartment kipi chengine kina unafuu huko kwenu. Naomba usikimbie

Wewe unafikiria kumiliki nyumba ni kazi rahisi kama hayo maisha ya kula ubwabwa kila siku ni tabu kwenye vitogonji vya Dar.
Kulingana na takwimu za UN habitats, mpo milioni 4.5 humo ndani ya Dar, na asilimia 70% mnaishi maisha ya tabu sana

Housing in Dar es Salaam out of reach for the millions that need it
 
Kaka point yangu naona hamjaipata bado, sijakataa labda kuna makazi ya kihivyo, lakini yanafaa kwa wazawa, issue yangu kama unaenda kwenye nchi ya watu halafu unatafuta maskani duni ya kiasi cha 150,000Tshs, hapo kuna kasoro. Kawaida hadi utoke nchi yako na kudiriki kwenda kwenye nchi nyingine, lazima uwe umejipanga na kuna uhitaji mkubwa, lakini sio kwenda kupigana vikumbo na wabeba mabox Tandale, halafu unakuja kututambia humu.
 
Be careful with you last statement,we not lazy just that we aren’t proactive enough like Kenya! You know what I mean? Hatuna kiherere km wakikuyu,wakalenjiii etc.
Hawa jamaa huwa na kiherehere sana, tena usiombee mfanye kazi ya Pamoja halafu kuwe na mzungu miongoni mwenu,
Nakumbuka tulikuwa Nairobi kwenye kikao wakenya wakawa wanakomalia eti we must be More aggressive,
Ajabu haohao Wazungu wakawaambia No, if you need to go far you don't have to be aggressive,
 
Nafikiri anamaanisha daraja la watembea kwa miguu la BRT. Kiuhalisia ni flyover japo sio ya magari. Wengi tunaposema flyover tunawaza kama ile ya kwenda daraja la kigamboni. Au zinazo jengwa TAZARA na Ubungo.
 
Be careful with you last statement,we not lazy just that we aren’t proactive enough like Kenya! You know what I mean? Hatuna kiherere km wakikuyu,wakalenjiii etc.

Hawa jamaa huwa na kiherehere sana, tena usiombee mfanye kazi ya Pamoja halafu kuwe na mzungu miongoni mwenu,
Nakumbuka tulikuwa Nairobi kwenye kikao wakenya wakawa wanakomalia eti we must be More aggressive,
Ajabu haohao Wazungu wak
Watanzania mnajiliwaza tu. Yaani nyie wote ni teamchaputa? Mrembo kutoka Kigali mlishindwa kabisa hata kumuapproach tu? Chipsi mayai inawakosti. Nai sisi hapan tambua hapo tunaingiaga na ile motto yetu ya chapa ilale! Respect kwa wanaume wote wa kikenya.
 
No, as you were so lazy to see. There, I was just replying in lazy english like your fellow lazy tzanians.
I singled out that "engrishi" word in purpose. Hoping someone who claims to be "not lazy" will notice something.
But you turned out to be very lazy, lazier than Tanzanians.

Bro that word was very irrelevant. Kuchekesha ni kazi ya watu kajifunze kwa Erick Omondi.
 
We unafata kuchekeshwa na mwanaume mwenzako kwani wewe ni choko? Mbona utalia tu. Endelea kulala babaa wali wa mama bado hujaiva na madafu hadi mwezi ujao ndo yavunwe. Mi ndo nacheka hehehe. 😀 Uswahili na uvivu ni sawa tu na mbwa koko na viroboto. Mapacha wa kweli.
 
We unafata kuchekeshwa na mwanaume mwenzako kwani wewe ni choko? Mbona utalia tu. Endelea kulala babaa wali wa mama bado haujaiva na madafu hadi mwezi ujao ndo yavunwe. Mi ndo nacheka hehehe. 😀 Uswahili na uvivu ni kama mbwa koko na viroboto.
That's too naughty!
JF is for GTs.
Not for hooligans and trolls.

Notice: GTs stands for Great thinkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…