QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
asisahau na dictionary au kupitia english courseWalau umejicheka japo haujajidharau.
Haya, uliyosikia kuhusu urasimu ni ya uongo. Siku hizi fastjet ndo daladala za bongo. Kwa dharura nauli lazma wakubamize. Ila ukikata tiketi kama mwezi kabla unapata kwa bei rahisi. Nauli ni kati ya tzs 100,000 na 500,000 kwenda na kurudi
Ingia kwenye website yao. Angalia route unayotaka kwenda na useme kama ni kwenda na kurudi. Angalia tarehe ya kuondoka ulipo na kurudi pia. Ulikubali usisahau kuweka una mabegi mangapi manake uwanjani watakuchaji sana. Baada ya hapo unapewa bili yako.
Ukiikubali unasema utalipa baadae wanakupa reference number. Hiyo unatumia kulipia kwa mpesa ama tigo pesa. Siku ya kusafiri unataja jina tu ama kutoa kitambulisho na wataona tiketi imeshalipiwa unakwea pipa.
Siku ya kupanda ndege hakikisha umevaa viatu na socks manake hukawii kurudishwa buree. Hehehe safari njema mwaya
asisahau na dictionary au kupitia english course
Teh teh teh JF bhana ..!!
Very interesting ...,yani hapa nlikuwa navjistress but baada ya kufungua hii thread ..vyote vimedisappear..!
Wasikuchanganye bhana ..mnaangalia website gani? Mimi nimebook nakulipia Alhamic kwa ajili yakusafili alhamisi ijayo kwa 92,000. Hata ukitaka ya siku hiyohiyo unaweza kupata hata kwa 370,000. Safari za weekend bei mbaya. Ukukata wiki mbili kabla unaweza upaate kwa 60,000.
Teh teh teh teeeh!!sawa nimeelewa sasa,kifupi sijawahi kusafiri kwa ndege mimi wa hapa hapa ila nimepata dharula natakiwa Mwanza haraka sana.so mantiki ya mimi kusema hovyo nikutokana na tangazo lao nililowahi kusikia clouds redio kuwa Dar-Mwanza ni elfu 45...nilipoambiwa laki 2 nimestuka kwa badiriko ilo la gafla.....anyway ngoja nijipange kivingine tu dharula yenyewe sio ya pesa ntaenda tu Muro
Tafuta tiketi umsindikize mtoa mada. Im sure utasahau shida zako zote. Sijui anasafiri lini na mie niende dah
Ni nini hicho?
Faiza wewe kwenye siasa bhana mambi ya dharula na safari niachie mimi bhana na akina King'asti nini lakini?...tusiumbuane bhana nikaushie naona ushaanza...baba yako mimi niheshimu bhana ndege yenyewe nimeghaili sipandi..
Teh teh teh teeeh!!sawa nimeelewa sasa,kifupi sijawahi kusafiri kwa ndege mimi wa hapa hapa ila nimepata dharula natakiwa Mwanza haraka sana.so mantiki ya mimi kusema hovyo nikutokana na tangazo lao nililowahi kusikia clouds redio kuwa Dar-Mwanza ni elfu 45...nilipoambiwa laki 2 nimestuka kwa badiriko ilo la gafla.....anyway ngoja nijipange kivingine tu dharula yenyewe sio ya pesa ntaenda tu Muro
Ndugu yangu kama safari yako ni ya ghafla basi fastjet haitakufaa kwa sasa. Fastjet ni nzuri kwa mtu anayepanga safari angalau mwezi mmoja kabla mfano mie nina tiketi ya Mwanza Dar trh 2 Dec. nimekata week mbili zikizopita kwa 69,000.00.
Ila ukijaribu kukata sasa hivi one way in angalau 186,000.00 kabla ya kodi.
Kwa sasa hivi bei zimeishapanda sababu watu wengi watakuwa wanaenda likizo ya mwisho wa mwaka hivyo demand ya seats ni kubwa kuliko supply hence the higher price.
Ile Wanaowekaga Bei Ya Sh.32000 Inakuaje?