Dar es Salaam to Mwanza kwa FastJet nauli ni shilingi ngapi ?

Ingia Google andika fastjet utajua kila kitu.
 
Hakuna bei maalum ubadilika badilika kila mara pia bei ni tofauti kati booking online na booking ya ofisini mara ya mwisho mwezi wa 2 ilikuwa laki 220,000 hadi laki 180,000 siku nikafungua nikakuta 134,000
 
NIMEINGIA SIJAONA PLZ MWENYE INFORMATION HELP ME
Kama unaweza kuingia jf lakini umeshindwa kuingi fastjet ni wazi hata ukielezwa baadae utaanza kutuuliza eti kituo cha kupandia fastjet kiko wapi!
 
Ni lakin mbili na arobaini (240,000/=) tu mm nimemkatia mtu Jana.
 
if know tell us
 
matumizi mabaya pesa kamata bus
 

Bei zinapanda kila baada ya dakika. Unaweza kuangalia bei ukaona 136,000/ baada ya nusu saa imeshapanda. Hizi cheap flight sivyo kama zilivyo ni kamali au gambling. Nilinunua tkt Tigo hawakuipost nafika Airport nilikataliwa kuwa jina langu halipo. Nilikuwa naenda kwenye msiba wa mama ilibidi ninunue tkt upya. Ile ya kwanza ilikuwa 136,000/ ya pili ya saa nne niliinunua 250,000/ pale pale Airport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…