Organic food ni chakula kilicholimwa pasipo kutumia madawa ya viwandani kuulia wadudu, mbolea za kikemikali, mionzi, na hazijabadilishwa kijenetiki (genetically modified).Organic food ni nini?
Je kila kinacholimwa kwenye greenhouse ni organic?
asante kwa ufafanuziOrganic food ni chakula kilicholimwa pasipo kutumia madawa ya viwandani kuulia wadudu, mbolea za kikemikali, mionzi, na hazijabadilishwa kijenetiki (genetically modified).
Sio kila kilimwacho kwenye greenhouse ni organic
Organic food ni chakula kilichopandwa kwenye shamba ambalo halitumii mbolea zenye kemikali wala hazijanyinyizwa dawa za kuua wadudu zenye kemikali.Organic food ni nini?
Je kila kinacholimwa kwenye greenhouse ni organic?
Matunda yapo kwa wingi sanahongereni sana aisee mmebuni kitu kizuri sana
muanze kuuza na matunda pia
Lettuce Salad zipo kwa wingi, karibu sanaKuna mboga Fulani inaitwa salad inapatikana sana Arusha na inalimwa kwenye maji.
Je unazo?
dar mko sehemu gani?vitu vyenu ni organic????Dar Es Salaam Vegetables Market Door to Door delivery service.
Tunauza mboga za majani za aina zote. Zucchini, Brocolli, Colie flower, leeks, mint, coriander, Kisamvu kilichotwangwa, matembele, mchicha, mnafu, majani ya maboga, majani ya kunde, nguniani, Chinese spinach, European spinach, cabbage, Chinese cabbage, red cabbages, red pepper, green paper, yellow pepper, hot pepper, beet nuts, beet roots, viazi, na matunda ya aina mbalimbali.
Tutakufikishia hadi mlangoni kwako bila gharama yoyote.
Tupigie simu 0767/0717-45-44-55.
Tunafikisha vikiwa fresh, visafi na kwa wakati.
Muwe mnasoma mnamaliza halafu unafikiria uongezee kipi,unaposema matunda tayari ameorodhesha, sijui matunda gani una maanishahongereni sana aisee mmebuni kitu kizuri sana
muanze kuuza na matunda pia