magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,340
Nipo dar wilaya ya temeke. Nikijua bei ya kila kilo ndo naweza kuamua nichukue kilo ngapi kwa kundi la mboga..!!uko Wapi? unachukua kilo ngapi?

Hongera Dr naona umefungua clinichongereni sana aisee mmebuni kitu kizuri sana
muanze kuuza na matunda pia
Dar Es Salaam Vegetables Market Door to Door delivery service.
![]()
Tunauza mboga za majani za aina zote. Zucchini, Brocolli, Colie flower, leeks, mint, coriander, Kisamvu kilichotwangwa, matembele, mchicha, mnafu, majani ya maboga, majani ya kunde, nguniani, Chinese spinach, European spinach, cabbage, Chinese cabbage, red cabbages, red pepper, green paper, yellow pepper, hot pepper, beet nuts, beet roots, viazi, na matunda ya aina mbalimbali.
Tutakufikishia hadi mlangoni kwako bila gharama yoyote.
Tupigie simu 0767/0717-45-44-55.
Tunafikisha vikiwa fresh, visafi na kwa wakati.
Mkuu minimum price ya kufanyiwa delivery ni kiasi gani ?
Na mtu akitaka kufanya kazi na nyie anabeba orders in bulk mnaweza kua flexible in pricing ili na yeye apige hela?
nunua vitu vya kuanzia 15,000/-Mkuu minimum price ya kufanyiwa delivery ni kiasi gani ?
Na mtu akitaka kufanya kazi na nyie anabeba orders in bulk mnaweza kua flexible in pricing ili na yeye apige hela?
Nimevutiwa sana na huu mradi nitakuja tupige hela mkuu.nunua vitu vya kuanzia 15,000/-
Kuhusu kufanya biashara na sisi njoo ofisini tutaelewana tu
Karibuni kiwi fruits kwa bei nzuri sana.
![]()
Dar Es Salaam Vegetables Market Door to Door delivery service.
![]()
Tunauza mboga za majani za aina zote. Zucchini, Brocolli, Colie flower, leeks, mint, coriander, Kisamvu kilichotwangwa, matembele, mchicha, mnafu, majani ya maboga, majani ya kunde, nguniani, Chinese spinach, European spinach, cabbage, Chinese cabbage, red cabbages, red pepper, green paper, yellow pepper, hot pepper, beet nuts, beet roots, viazi, na matunda ya aina mbalimbali.
Tutakufikishia hadi mlangoni kwako bila gharama yoyote.
Tupigie simu 0767/0717-45-44-55.
Tunafikisha vikiwa fresh, visafi na kwa wakati.
Hivi na Mahindi na yenyewe ni vegetables ???
Karibuni kiwi fruits kwa bei nzuri sana.
![]()
Nina imani hii picha sio ya mtandaoni.Dar Es Salaam Vegetables Market Door to Door delivery service.
![]()
Tunauza mboga za majani za aina zote. Zucchini, Brocolli, Colie flower, leeks, mint, coriander, Kisamvu kilichotwangwa, matembele, mchicha, mnafu, majani ya maboga, majani ya kunde, nguniani, Chinese spinach, European spinach, cabbage, Chinese cabbage, red cabbages, red pepper, green paper, yellow pepper, hot pepper, beet nuts, beet roots, viazi, na matunda ya aina mbalimbali.
Tutakufikishia hadi mlangoni kwako bila gharama yoyote.
Tupigie simu 0767/0717-45-44-55.
Tunafikisha vikiwa fresh, visafi na kwa wakati.
Kuna sehemu mnauzia ambayo naweza kuja au ni hadi mlete wenyewe.....
Kwa sasa hatujapata jengo kubwa, tuna ofisi ndogo Mwenge. Tunatafuta sehemu ambayo tutafunga cooling system na wateja watapata mahitaji yao hapo Dar Es Salaam Vegetables MarketKuna sehemu mnauzia ambayo naweza kuja au ni hadi mlete wenyewe.....