Dar es Salaam Vegetables Market- Huduma hadi mlangoni kwako

Mkuu minimum price ya kufanyiwa delivery ni kiasi gani ?
Na mtu akitaka kufanya kazi na nyie anabeba orders in bulk mnaweza kua flexible in pricing ili na yeye apige hela?
 
nunua vitu vya kuanzia 15,000/-
Kuhusu kufanya biashara na sisi njoo ofisini tutaelewana tu
 
Karibuni kiwi fruits kwa bei nzuri sana.
 
SAFI SANA

OVA
 
Nina imani hii picha sio ya mtandaoni.
 
Kuna sehemu mnauzia ambayo naweza kuja au ni hadi mlete wenyewe.....

Kwa sasa hatujapata jengo kubwa, tuna ofisi ndogo Mwenge. Tunatafuta sehemu ambayo tutafunga cooling system na wateja watapata mahitaji yao hapo Dar Es Salaam Vegetables Market
 
Reactions: RR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…