Hahahaaaaa umenichekesha mkuu eti wanaishi kama bakteria tena bakteria wana afadhali ungesema fungus!Govi Depay.. As u may be aware.. Out of 3.2mn Nairobi residents, 2.5mn reside like bacteria in Kibera.. yet u and your leaders(incompetent tribalists thugs brag of Nairobi..), .
View attachment 454434View attachment 454436View attachment 454438
Hutawaona tena hapa na magovi yao, sasa hivi wako busy Google kutafuta picha za albino na TandaleHahahaaaaa umenichekesha mkuu eti wanaishi kama bakteria tena bakteria wana afadhali ungesema fungus!
Utakuwa mchaga wa Rombo
Nairobi naiona km Arusha tu Dar ipo vizuri mkuuHao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
Tena nimeishi huko 4years......Dar na Nairobi tofauti kubwa ni flyover zao basiwatanzania mna umasikini wa roho,
sasa wewe unabishia hali halisi??
umeshawahi kufika nairobi??
Sasa hiyo kambi ya wakimbizi si sawa na huko kwenu Nairobi-Kibera. Unafananishaje na jiji namba moja kwa ukuaji AfrikaSasa si afadhal sasa kabul chenu hicho.... Hata Dadaab refugee camp afadhali imepangika. Ona, na hawa watu wanajiita wako Jijini Dar es salaam ama kijiji cha ujamaa Dar es salaam
Dadaab si afadhali hapa hii
View attachment 454424
Ni tatizo la Wakenya mtasifia kitu hata kama ni kinyesi. Mna shida sana.watanzania mna umasikini wa roho,
sasa wewe unabishia hali halisi??
umeshawahi kufika nairobi??
Ni tatizo la Wakenya mtasifia kitu hata kama ni kinyesi. Mna shida sana.
No offense mkuu...watu wengi wa Rombo hupenda kusifia Nairobi.Sina uhakika kama kutokana na ukaribu, au kwa sababu ndio sehem pekee baadhi yao huenda na kulinganisha na wanapotoka na kisha kuja na conlusion kutokana na mlinganisho huo.Ndio nikakuuliza toka awali kwamba wewe ni mwenyeji wa Rombo? Ushawahi kufika Dar?wewe ni mmoja kati ya watu mnaosababisha watanzania wote tuonekane viazi.
No offense mkuu...watu wengi wa Rombo hupenda kusifia Nairobi.Sina uhakika kama kutokana na ukaribu, au kwa sababu ndio sehem pekee baadhi yao huenda na kulinganisha na wanapotoka na kisha kuja na conlusion kutokana na mlinganisho huo.Ndio nikakuuliza toka awali kwamba wewe ni mwenyeji wa Rombo? Ushawahi kufika Dar?
ingawa hujanijibu swali la msingi.
Ujinga na udhaifu wa ***** usiulete huku.Pumba na kujipendekeza kwa Wakenya ni huko kwenu.wewe ni mmoja kati ya watu wanaosababisha watanzania wote tuonekane viazi.
. Hii hapa Dar mwenzangu.. Hata mbwa hawezi ishi hapaNairobi si chochote, mimi na dar tu
Nairobi watu wanaishi kwenye mabanda, ya ajabu kabisa,
Ujinga na udhaifu wa ***** usiulete huku.Pumba na kujipendekeza kwa Wakenya ni huko kwenu.
Usilinganishe Dar na utumbo wowote wa Afrika mashariki.
Aaah wewe wacha hizo za kujitoa akili, give credit where it is due, Dar inakuja vizuri lakini kwa Nairobi iko nyuma kwa mbali labda hujawahi kufika Nairobi! Hata mwalimu Nyerere alipenda kusema ukitaka kujua ulaya palivyo, tembelea Nairobi, Nairobi iko mbali jamaa, wacha mtimanyongo, haubadilishi ukweli!Ujinga na udhaifu wa ***** usiulete huku.Pumba na kujipendekeza kwa Wakenya ni huko kwenu.
Usilinganishe Dar na utumbo wowote wa Afrika mashariki.