Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Hahahaaaaa umenichekesha mkuu eti wanaishi kama bakteria tena bakteria wana afadhali ungesema fungus!
Hutawaona tena hapa na magovi yao, sasa hivi wako busy Google kutafuta picha za albino na Tandale
 
Nairobi si chochote, mimi na dar tu
Nairobi watu wanaishi kwenye mabanda, ya ajabu kabisa,
 
..Nairobi has the best places and worst places at the same time unlike dar es salaam,henceforth nairobi waisome namba tu
 
Kwanza dar nipana sana kuliko nairobi
Sema dar ukabaji mkubwa sana

Nairobi kibera utafikiri ni machinjio ya wanyama na sio kibera, tu
 
Hao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi

Nairobi naiona km Arusha tu Dar ipo vizuri mkuu
 
watanzania mna umasikini wa roho,

sasa wewe unabishia hali halisi??

umeshawahi kufika nairobi??
Tena nimeishi huko 4years......Dar na Nairobi tofauti kubwa ni flyover zao basi
Na hali ya hewa kule baridi huku joto.
We have caught up in almost everything else
 
Sasa si afadhal sasa kabul chenu hicho.... Hata Dadaab refugee camp afadhali imepangika. Ona, na hawa watu wanajiita wako Jijini Dar es salaam ama kijiji cha ujamaa Dar es salaam

Dadaab si afadhali hapa hii
View attachment 454424
Sasa hiyo kambi ya wakimbizi si sawa na huko kwenu Nairobi-Kibera. Unafananishaje na jiji namba moja kwa ukuaji Afrika
 
wewe ni mmoja kati ya watu mnaosababisha watanzania wote tuonekane viazi.
No offense mkuu...watu wengi wa Rombo hupenda kusifia Nairobi.Sina uhakika kama kutokana na ukaribu, au kwa sababu ndio sehem pekee baadhi yao huenda na kulinganisha na wanapotoka na kisha kuja na conlusion kutokana na mlinganisho huo.Ndio nikakuuliza toka awali kwamba wewe ni mwenyeji wa Rombo? Ushawahi kufika Dar?
ingawa hujanijibu swali la msingi.
 
wewe ni mmoja kati ya watu wanaosababisha watanzania wote tuonekane viazi.
 
Nairobbery the London of Africa, Dar inakuja kwa mwendokasi! Well done bandari ya salama
 
The only advantage Dar has over Nairobi is an expansive slum
 
Nairobi si chochote, mimi na dar tu
Nairobi watu wanaishi kwenye mabanda, ya ajabu kabisa,
. Hii hapa Dar mwenzangu.. Hata mbwa hawezi ishi hapa
downloadfile-1.jpeg
 
Ujinga na udhaifu wa ***** usiulete huku.Pumba na kujipendekeza kwa Wakenya ni huko kwenu.
Usilinganishe Dar na utumbo wowote wa Afrika mashariki.

Kweli usilinganishe Dar na Majiji ya Africa Mashiriki.Dar kuna Umasikini wa kutupwa
 
Ujinga na udhaifu wa ***** usiulete huku.Pumba na kujipendekeza kwa Wakenya ni huko kwenu.
Usilinganishe Dar na utumbo wowote wa Afrika mashariki.
Aaah wewe wacha hizo za kujitoa akili, give credit where it is due, Dar inakuja vizuri lakini kwa Nairobi iko nyuma kwa mbali labda hujawahi kufika Nairobi! Hata mwalimu Nyerere alipenda kusema ukitaka kujua ulaya palivyo, tembelea Nairobi, Nairobi iko mbali jamaa, wacha mtimanyongo, haubadilishi ukweli!
 
Back
Top Bottom