Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Wewe ni mkenya!!

2.5m ya wakazi wa Nairobi wanaishi kibera.
Nairobi ina wakazi wasiozidi 3.4 m,
3.4-2.5= 0.9..
Kwaiyo sehemu nzuri ya Nairobi hukaliwa na wakazi 900000, na humo bado sijatoa slums nyingine za Nairobi..
Kenya ina wenyewe..
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Waache watokwe povu ngoja na kigamboni ikamilike ndowaisome namba kwelkweli .
 
Kwa aloskia taarifa ya Leo ya BBC wametangaza kua baadhi ya wakazi wa Nairobi wakokwenye umaskin wa kutupwa ivo wanahitaji msaada wa haraka sana wakiojiwa wenyewe wanalia wanahitaji msaada haraka iwezekanavyo,then badomnajitapa eti mna uchumi imala uku rahia wanalia aibu yenu nyie na mwaka huu hatuleti mahindi tuone sasa.
 
Here you go.Nairobi in its full glamour!!

Kwa jinsi hiyo. Nairobi kwa Dar inasoma namba aisee. Pamoja na kuweka marembo rembo meeeengi bado tu. Aise Dar sio ya mchezo mchezo.
 
poverty will not stop chasing you Kenyans....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji11]
 
Nairobi aka kidongo chekundu....lile jiji ukitaka ulichukie inyeshe mvua,matope yenye rangi inayokaribia na wekundu inasababisha mpaka barabara ya lami inabadilika na kuwa na rangi isiyopendeza machoni.

kuna mkenya mmoja swahiba wangu aliwahi niambia,geographically Nairobi ilitakiwa iwe eneo tengefu la wafugaji wa jamii ya kimasai.haikupaswa kuwa jiji kuu la kenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe ni mkenya!!

2.5m ya wakazi wa Nairobi wanaishi kibera.
Nairobi ina wakazi wasiozidi 3.4 m,
3.4-2.5= 0.9..
Kwaiyo sehemu nzuri ya Nairobi hukaliwa na wakazi 900000, na humo bado sijatoa slums nyingine za Nairobi..
Kenya ina wenyewe..

wewe ni mmoja kati ya watu wanaosababisha watanzania wote tuonekane viazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…