Sidhani ushai fika Nairobi wewe, sheng and english is the most spoken languages na vijana wengi hio ukabila hawajui. Siasa ndo huficha watu macho, other sectors hakunanga huo upuzi unaita janga la ukabila.Janga la taifa la Kenya....UKABILA.
Nasikuona barabara kwenye drone video ya Dar, Roads from above for a city should look like this!
Hahaha hii Nairobi pekeeit's no doubt that you will not dare show me that nairobi where many poor kenyans (including you)leave in.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
hawa jamaa Jana nimewapeleka mputa mputa mpaka mishale ya saa tisa usiku....nahisi mda huu ndio watakuwa wamelala maana sikuwapa nafasi ya kusema neno.Hahaha hii Nairobi pekee
Tehehehee.... Janga la THapa Nirobi imepigws bao.
Nairobi imenyanyaswa sana na Dar kwenye drones Dar is the fastest growing up in the world
Dogo umekuja?Tehehehee.... Janga la T
Dar ni kama tu Kabul hamna haja ya kujiliwasa hap. The worlds Cholera Capital city cannot get anywhere near even to Maputo
alinikimbia Jana usiku....Dogo umekuja?
Naomba umshughulikie. Ila mwoga kweli ukimpuliza anakimbia kweli na kuwaambia wenzake wasichangie.alinikimbia Jana usiku....
issue ya picha za matope zimewapa hasira wakenya....nime expose vitu ambavyo mkenya yoyote hapendi mgeni avijue kuhusu nairobi.bado nina mzigo mkubwa wa picha za matope sijaziweka hapa,nitakuwa naweka moja moja mpaka waombe msamaha.Naomba umshughulikie. Ila mwoga kweli ukimpuliza anakimbia kweli na kuwaambia wenzake wasichangie.
Sasa hivi nimeanzakuwaona wameanza kuwa wapole kweli. Hawana chochote zaidi ya ile barabara tu. Nimeingia kwenye mtsndao wao wa Kenya Talk na kutupia mapicha ya TZ wamebaki wakitoa mimacho tu. Sasa hivi nawafuata huko huko mpaka watuheshimu.issue ya picha za matope zimewapa hasira wakenya....nime expose vitu ambavyo mkenya yoyote hapendi mgeni avijue kuhusu nairobi.bado nina mzigo mkubwa wa picha za matope sijaziweka hapa,nitakuwa naweka moja moja mpaka waombe msamaha.
Shida ya www.nipate.comSasa hivi nimeanzakuwaona wameanza kuwa wapole kweli. Hawana chochote zaidi ya ile barabara tu. Nimeingia kwenye mtsndao wao wa Kenya Talk na kutupia mapicha ya TZ wamebaki wakitoa mimacho tu. Sasa hivi nawafuata huko huko mpaka watuheshimu.
Dogo umekuja?
Sasa hivi nimeanzakuwaona wameanza kuwa wapole kweli. Hawana chochote zaidi ya ile barabara tu. Nimeingia kwenye mtsndao wao wa Kenya Talk na kutupia mapicha ya TZ wamebaki wakitoa mimacho tu. Sasa hivi nawafuata huko huko mpaka watuheshimu.
issue ya picha za matope zimewapa hasira wakenya....nime expose vitu ambavyo mkenya yoyote hapendi mgeni avijue kuhusu nairobi.bado nina mzigo mkubwa wa picha za matope sijaziweka hapa,nitakuwa naweka moja moja mpaka waombe msamaha.