MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Kinacho nikera Forums za kenyaSasa hivi nimeanzakuwaona wameanza kuwa wapole kweli. Hawana chochote zaidi ya ile barabara tu. Nimeingia kwenye mtsndao wao wa Kenya Talk na kutupia mapicha ya TZ wamebaki wakitoa mimacho tu. Sasa hivi nawafuata huko huko mpaka watuheshimu.
Nihiki
Thread inakaa miaka 4 wachangiaji 13!!!