Kinacho nikera Forums za kenyaSasa hivi nimeanzakuwaona wameanza kuwa wapole kweli. Hawana chochote zaidi ya ile barabara tu. Nimeingia kwenye mtsndao wao wa Kenya Talk na kutupia mapicha ya TZ wamebaki wakitoa mimacho tu. Sasa hivi nawafuata huko huko mpaka watuheshimu.
alinikimbia Jana usiku....
Nilitupia kwenye Politics & News. CheckShida ya www.nipate.com
Kule thread ya mwaka jana ina views 100!!!
Yaani ukiacha wachangiaji views hakuna!!
Halafu mada karibu zoote ni Jaluo mara kikuyu
Uhuruto yaani ujinga ujinga hahaha
Picha ulitupia thread gani ndugu kule?
Maneno yako yasipo heshimu, nafsi yako itaheshimu. Unaufahamu wimbo wa Chid Benz. Kwamba wanakubali kiaina.Hakuna siku tutawaheshimu watu wa govi. com. Forget about that
Nilitupia kwenye Politics & News. Check
Visit Tanzania one day
na
Dar es salaam drone view
Yaani wanakodoa tu.
Maneno yako yasipo heshimu, nafsi yako itaheshimu. Unaufahamu wimbo wa Chid Benz. Kwamba wanakubali kiaina.
Usikilize huu hapa:
Nani alikimbia... Wewe uliona mwanzo vile Dar inamalizwa na Cholera.
Kama hawana video wapige kimya sahivi utaki umetoshaMwanzoni mjadala ulikuwa mzuri ila umeingia utoto hata hatupati contents tena za majiji haya
Hamna kitu! Nairobi ilikuwa zamani. Saa hii ilishapitwa kitambo sana na picha hizo ni ushahidi.Hao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
Kumbuka kuwa kinachovutia pekee kwa Nairobi kuliko Dar ni fly overs! Lakini wingi wa majengo marefu na mazuri Nairobi kwa sasa ni cha mtoto! Pia mradi wa fly overs Dar umeshazinduliwa, hivyo baada ya miaka miwili habari ya Dar ni nyingine kabisa!Hao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
Pia hawana daraja zuri na refu kama LA kigamboni, pia hawana majengo marefu kulinganisha na Dar!Hahahaha kwahiyo sisi tukileta vitu vilivyopo Dar, Nirobi havipo utasemaje? Nyie hamna mwendokasi kama sisi.
Wewe unasubiri google. huoni drone view?ni kujidanganya kusema dar imeipiku nairobi kwa uzuri na development...... enda tu Google unamata nairobi inatokea top 5 in every list