tell those kenyans kids to conduct a decent discussion when engaging tanzanians....if they play dirty we/i play dirty,if they play clean we play clean....Guys can you stop premature agreement and keep on posting drone video? We are fed up with matope and tandale shit
I got ittell those kenyans kids to conduct a decent discussion when engaging tanzanians....if they play dirty we/i play dirty,if they play clean we play clean....
you should also remind them that I'm the master of using irritating tricks when i discuss with kenyans.those older jf members know me very well.
Kumbuka kuwa kinachovutia pekee kwa Nairobi kuliko Dar ni fly overs! Lakini wingi wa majengo marefu na mazuri Nairobi kwa sasa ni cha mtoto! Pia mradi wa fly overs Dar umeshazinduliwa, hivyo baada ya miaka miwili habari ya Dar ni nyingine kabisa!
kubwa lao naona umekuja kuokoa jahazi lililokwisha zama.umechelewa sana,vijana wako wana ugulia maumivu huko waliko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnao ongea kuhusu flyovers siwaelewi maana Nairobi inaizidi Dar kwa kila kitu, tulitumia muda wetu kuwapa kichapo kweny uzi mwengine na hatutarudia, aidha wenyewe mfuate huo uzi hapa Kenyan & Tanzanian Surburbs
Unaposema kila kitu unamaanisha nini? Je Nairobi kuna magorofa mangapi halafu Dar yapo mangapi? Tuanzie hapo kwanza.Mnao ongea kuhusu flyovers siwaelewi maana Nairobi inaizidi Dar kwa kila kitu, tulitumia muda wetu kuwapa kichapo kweny uzi mwengine na hatutarudia, aidha wenyewe mfuate huo uzi hapa Kenyan & Tanzanian Surburbs
gorofa za urefu upi?Unaposema kila kitu unamaanisha nini? Je Nairobi kuna magorofa mangapi halafu Dar yapo mangapi? Tuanzie hapo kwanza.
Zote.gorofa za urefu upi?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Unajua Kenya wko poa kinoma kwenye kujisahaulisha mambo, KIBERA dunia nzima hamna Eneo Mbaya kama lile.Kibera umeiona??
Kwahiyo hizo ndio zote?Nairobi ina gorofa za 80m plus 14 na dar ina 11......gorofa zilizokamilika
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Unajua Kenya wko poa kinoma kwenye kujisahaulisha mambo, KIBERA dunia nzima hamna Eneo Mbaya kama lile.
ikiwa hii ndo dar es salaam hufai kuzungumzia kibera
Hakuna ubishi video zilizowekwa zimemaliza ubishi. Hiyo uliyoweka wewe ndiyo iliyoidhalilisha Nairobi! Afadhali ile ya mtoa uzi! Siri ni kwamba Nairobi is no longer developing or it is doing so at a very low pace while Dar is on the run as far as development is concerned!Mnao ongea kuhusu flyovers siwaelewi maana Nairobi inaizidi Dar kwa kila kitu, tulitumia muda wetu kuwapa kichapo kweny uzi mwengine na hatutarudia, aidha wenyewe mfuate huo uzi hapa Kenyan & Tanzanian Surburbs
Kwa hiyo unataka kuniambia hii ni Dar au Kibera???🙄
Nakuoa list ya majengo machache tu na majina yake. Haya yapo completed tayari. Yaani machache tu halafu ujicheke mwenyeweNairobi ina gorofa za 80m plus 14 na dar ina 11......gorofa zilizokamilika
Nakujua mkuu wewe ulizaliwa posta jijini ngoja tukuachie jiji lako twende pembeni ya mji kwetu (msata)Endelea kukaa kijijini kwako mkuu usije ku comment pumba. Kila taifa lina watu wenye tabia zake
Hakuna ubishi video zilizowekwa zimemaliza ubishi. Hiyo uliyoweka wewe ndiyo iliyoidhalilisha Nairobi! Afadhali ile ya mtoa uzi! Siri ni kwamba Nairobi is no longer developing or it is doing so at a very low pace while Dar is on the run as far as development is concerned!
Ubishi upi unaongea kuhusu, kwa kifupi hauwezi ukaimaliza Nairobi kwa drone, utachoka na kuachia. Hivyo inabidi uwe na video nyingi za drones kadhaa ndio ufikie nusu ya Nairobi.
Nyie vijana wa Magomeni haya mambo mtakuja yaelewa lini...
Nairobi inaeneo la 696 km sqr
Dar inaeneo la 1,590.5 km sqr
Sasa unaposema Nairobi kubwa wakati ukubwa wake unalingana na wilaya moja tu ya Dar hapo sikuelewi. Halafu kuna Kibera, Mathare nk. Kwa maana hiyo kaeneo kadogo sana kamejengeka huko Nairobi. Dar es salaam is wide.
You have to admit it.
kuku za tao (Nairobi town) sikulangi tena,juu zinakuwa prepared kwa toilet.
Nairobi jiji chafu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]