Kambalanick
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 1,157
- 1,046
kwa hiyo sasa hivi mnaonekana mazombi siyoDar ni pana kuliko Nairobi baada ya project za fly over na mwendokasi tutaeshimiana
Dar is bigger and overpopulated more than NairobiDar es Salaam
Hahahaha itakua hizi drone hazichukui,picha sehem kama hiziKibera umeiona??
Rudi darasani kasome kidogo. Afu hii utuletee mwakani pale tazara patakua pamekamilikaHao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
Hatutaki ya mataataa usikuHao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
i've never been to nairobi hivyo,judgement yangu ni kutokana na drones videos
1. skyline
dar skyline is more denser than nairobi yaani nairobi ina spaces nyingi sana kuliko dar hivyo,kwenye videos ni kama dar ina majengo mengi ingawa hayajapangiliwa ama kubuniwa vyema for a modern city compared to nai.
2. infrastructures
hapa nairobi imeipiga dar si kwa barabara ama city parks, nairobi imekua juu kwa hili na ndio maana ulitaka kulidhihirisha hili kwa kutupia video ya pili ingawa haijalionesha jiji vizuri kama ile iliyotangulia.
3.Growth
hapa ukiangalia katika videos utaona dar kuna majengo mengi ambayo hayajaisha na mengine yakijengwa ukilinganisha na Nai hivyo, nai ifunge mkanda ikaze na kamba ama ifate nyayo ichane msamba, ifunge mkanda ipasue anga, dar tunasemaga chambua kama karanga ( sorry nina darassa muziki fever)
Hahahaha kwahiyo sisi tukileta vitu vilivyopo Dar, Nirobi havipo utasemaje? Nyie hamna mwendokasi kama sisi.Naona umemea pembe uongezee mkia......
Nimeshangaa hujafika Nairobi kwa jinsi wewe hupanga mada zako ni kama hukusomea Tanzania.
Video ya pili niliileta kwa kusudi la kuonyesha hayo ma-flyover, yaani ndio leo Dar mnahangaika na flyover ya kwanza pale TAZARA wakati sisi tumechoka nazo maana zinaenendelea kujengwa.
Leo hii tumeanza michakato ya double decker kwenye Uhuru highway, picha yake hii hapa