Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

How are they able to use drones in Kenya? they are not allowed.
Its kind of clear in the video, they just showed the city from the near outskirts, the Dar one is really the CBD.
Still Nairobi killed it.
 
Hao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi

Rudi darasani kasome kidogo. Afu hii utuletee mwakani pale tazara patakua pamekamilika
 
Fiesta Dar es salaam. Dar show love

Roma na Stamina


 
Wasafi Beach Party. Dar patamu sana.

 
i've never been to nairobi hivyo,judgement yangu ni kutokana na drones videos

1. skyline
dar skyline is more denser than nairobi yaani nairobi ina spaces nyingi sana kuliko dar hivyo,kwenye videos ni kama dar ina majengo mengi ingawa hayajapangiliwa ama kubuniwa vyema for a modern city compared to nai.

2. infrastructures
hapa nairobi imeipiga dar si kwa barabara ama city parks, nairobi imekua juu kwa hili na ndio maana ulitaka kulidhihirisha hili kwa kutupia video ya pili ingawa haijalionesha jiji vizuri kama ile iliyotangulia.

3.Growth
hapa ukiangalia katika videos utaona dar kuna majengo mengi ambayo hayajaisha na mengine yakijengwa ukilinganisha na Nai hivyo, nai ifunge mkanda ikaze na kamba ama ifate nyayo ichane msamba, ifunge mkanda ipasue anga, dar tunasemaga chambua kama karanga ( sorry nina darassa muziki fever)

Naona umemea pembe uongezee mkia......

Nimeshangaa hujafika Nairobi kwa jinsi wewe hupanga mada zako ni kama hukusomea Tanzania.

Video ya pili niliileta kwa kusudi la kuonyesha hayo ma-flyover, yaani ndio leo Dar mnahangaika na flyover ya kwanza pale TAZARA wakati sisi tumechoka nazo maana zinaenendelea kujengwa.

Leo hii tumeanza michakato ya double decker kwenye Uhuru highway, picha yake hii hapa
uhuru_highway-double-decker.png
 
Naona umemea pembe uongezee mkia......

Nimeshangaa hujafika Nairobi kwa jinsi wewe hupanga mada zako ni kama hukusomea Tanzania.

Video ya pili niliileta kwa kusudi la kuonyesha hayo ma-flyover, yaani ndio leo Dar mnahangaika na flyover ya kwanza pale TAZARA wakati sisi tumechoka nazo maana zinaenendelea kujengwa.

Leo hii tumeanza michakato ya double decker kwenye Uhuru highway, picha yake hii hapa
uhuru_highway-double-decker.png
Hahahaha kwahiyo sisi tukileta vitu vilivyopo Dar, Nirobi havipo utasemaje? Nyie hamna mwendokasi kama sisi.
 
Nairobi si Jiji la Kulinganisha na Dar, Aibu! Nairobi ni kiwango chake! Dar bado hata Mombasa imeanza kuitoa!
 
Mngetafuta drone video ndio tuanze kuchambua zaidi maneno mengi yann
 
Back
Top Bottom