Potea wa potea
Senior Member
- Oct 9, 2013
- 117
- 28
Punguzeni spidi wakuu, mtawaua!! Naoma mnawapa dozi za hatari from drone view to bodaboda view, safi sana!Na sisi tunaendelea na michakato kumaliza changamoto ya jiji leo lenye muonekano maridhawa wa chini kwa chini bila flyovers
Dar es salaam beautiful city
source: Hussein Muccadam
Kitufe cha "dislike" kinakuhusu.Dar ukitoa bahari hamna kitu.
Nairobi kuzuri Zaid
Nairobi huchukuliwa video sehemu sehemu maana ni kubwa na ina mambo mengi. Wacha nikupe za upper hillAcha maneno leta drone video.
Kwikwikwikwi. Tumewagonga kwa sasa 7:1Nairobi huchukuliwa video sehemu sehemu maana ni kubwa na ina mambo mengi. Wacha nikupe za upper hill
Na sababu unataka sana aibu, Kufanyanisha Nairobi Jiji na Dar Kijiji mkome
Kwikwikwikwi. Tumewagonga kwa sasa 7:1
Hayo mawazo yako. Wewe njoo tu. Mbona unakimbiakimbia na kuanzisha vita vya maneno. Wewe leta video hapa. Vita vya maneno sio hapa.View attachment 453814
Hiii ni ya kutungonga nayo? Hizo mbili nimewapa zinaonesha two different worlds! So no need of Comparison!