Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Kwi kwi Kwi! imepata Skyscrapers tatu ikadhani imefika ligi hata ya Maputo. Jiji linakaa Kabul...
 
Kwi kwi Kwi! imepata Skyscrapers tatu ikadhani imefika ligi hata ya Maputo. Jiji linakaa Kabul...
Broda hivi tukisema Nairobi ni kuzuri ndio itafanya Dar kuwe kubaya?au kinyume chake....me nadhani watu tungezungumzia wapi tumeweza wapi pangekaeje pangependeza zaidi thread ingekua nzuri zaidi
 
Come Live in Dar es salaam

Mbona umeamua kuleta videos za individual instalments? I thought you talked of Aerial views of Dar and Nairobi? You want us also to start posting videos of every resort and playground? Be serious
 
Mbona umeamua kuleta videos za individual instalments? I thought you talked of Aerial views of Dar and Nairobi? You want us also to start posting videos of every resort and playground? Be serious

Hawana spectacular aerial views... wanahofia wakionyesha hiyo manzense nzima itaonekana
 
Mbona umeamua kuleta videos za individual instalments? I thought you talked of Aerial views of Dar and Nairobi? You want us also to start posting videos of every resort and playground? Be serious
Pole. Ngoja tuendelee.
 
Broda hivi tukisema Nairobi ni kuzuri ndio itafanya Dar kuwe kubaya?au kinyume chake....me nadhani watu tungezungumzia wapi tumeweza wapi pangekaeje pangependeza zaidi thread ingekua nzuri zaidi

Hapo umeongea... I think you are one reasonable Tanzanians in this thread
 
Broo embu tupia drone video zinazoonyesha jiji sio nyimbo hazieleweki ....
Haipo drone ya Manzese. Ila nimeweka hiyo kwa sababu wakenya wanadai manzese panafanana na mathare. Nimeweka hiyo ili waweze kuiona Manzese ilivyo.

Lakini kama wewe upo nayo waweza weka.
 
Haipo drone ya Manzese. Ila nimeweka hiyo kwa sababu wakenya wanadai manzese panafanana na mathare. Nimeweka hiyo ili waweze kuiona Manzese ilivyo.

Lakini kama wewe upo nayo waweza weka.
Haha ...
but sehemu za wasindikizaji zipo duniani kote that is not the way ....even Newyork they always show us Manhattan and not otherwise
 
Haha ...
but sehemu za wasindikizaji zipo duniani kote that is not the way ....even Newyork they always show us Manhattan and not otherwise
Ok. Sawa Jiji la dar es salaam ni kubwa ndio maana tunaonesha vipande vipande.
 
Haha ...
but sehemu za wasindikizaji zipo duniani kote that is not the way ....even Newyork they always show us Manhattan and not otherwise

Yeap... Tell him... Even Rio de Janeiro has unpleasant places....
 
Helping Hands in Nairobi
View attachment 453814
Hiii ni ya kutungonga nayo? Hizo mbili nimewapa zinaonesha two different worlds! So no need of Comparison!

Jiji la Nairobi chini kwa chini kuona hekaheka na mishemishe za mchanganyiko wa kila aina katikati ya jiji kubwa Kenya hali ya usafiri, je wana treni za chini ya ardhi za mjini, waenda kwa miguu kukosa mpangilio salama wa matumizi sahihi ya barabara, karaha za kutokuwa na traffic lights za kutosha za barabarani, utitiri wa round abouts katikati ya mji, vioski, maghorofa chakavu yenye kuhitaji rangi/usafi/ukarabati n.k

Poa, kwa kweli sio rahisi kupata Watanzania 'asili' wenye kupanga mada jinsi ufanyavyo, yaani kupata Mtanzania ambaye hajachakachuliwa, hajasomea nje ya nchi halafu awe na uwezo huo.

Ni kweli nchi zetu hizi zinapiga hatua, na ifahamike kadiri Tanzania inapaa, ndivyo na Kenya inatoweka. Wakiamka leo waasisi wetu kutoka makaburini watashangaa na kuomba bora wazidi kuendelea kufa huko waliko.
Kenya ya leo sio ya hapo awali, tumefaulu kuthubutu, hata uwekezaji wetu nje ya nchi hususan ndani ya Tanzania umeongezeka maradufu.

Tanzania hata kama mnaendelea, lakini binafsi huwa nahisi bado mpo too slow, kila nikija Bongo na kuona fursa za uwekezaji zilizopo huwa nabaki kuwashangaa mbona mpo mpo tu na hamzichangamkii. Hiyo Mwanza unayotaja leo, nimesema mara nyingi kwamba ina uwezo wa kuwa mji mkubwa zaidi ya miji yote Afrika maana imebahatika kupachikwa katikati ya mataifa ya Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi kiasi kwamba mkiamka toka kwenye usingizi, mnaweza kufanya huo mji kuwa kitovu cha hizo nchi zote. Lakini leo hii naona mnakurupuka mara uwanja wa kimataifa Chato mara huku mara kule, hamjakaa na kuandika mikakati ya nchi.
 
Hahaha umeanza kujishitukia. Hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…