Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Huu ni uharo wa bata sasa, wewe unajiwela kundi gani kwa comment hii.
 
Hahaha Annael unaipenda sana Tanzania lakini sijui nisemeje yaani Ila it's your option!!
 

moja ya kitu kizuri ni kuikumbatia nchi yako moyoni pamoja na mapungufu yake

Tanzania inawakilishwa na dar (mji wa pwani) huku nairobi ikiwakilishwa na nairobi (mji usio wa pwani) kwa kuwa ndipo watu wa mataifa mengine hufikia,
pwani hujulikana kwa utaratibu na bara kwa uchangamfu katika kazi na hii ni kwa kenya na tanzania je, makao makuu ya Tanzania yangekuwa bara kama arusha,kilimanjaro, iringa, mbeya huku Kenya ikiwa ni mombasa je, hii perception tungekuwa nayo ???????..........

ukisema Tanzania bado imelala kwa kuwa unaona opportunities nyingi ambazo hazipo Kenya utakuwa unakosea kwa kuwa sisi ni jamii mbili tofauti yaani, a kenyan is raised nd prepared in search of opportunities that are not around so, he must be aggressive enough to win over the others while a Tanzanian is raised to inherit whats around him and get prepared to live a humble life (with humanity and a negative perception towards being an opportunists) enough to be acceptable by the society .both ways have negativities and positivities

ni kweli viongozi wetu wamekosa vision na hii inachangiwa na katiba yetu inayoruhusu mtu anayejua kuandika na kusoma kuwa MP na huyu ndiye mtu tunamtegemea kutengeneza policy ya kujua potentuality ya mwanza ,mbeya ama kagera !!!!!!!!!!

kuongezeka kwa sector ya ujenzi ,biashara na kilimo cha kisasa inatia matumaini kwa kweli. urbanization nayo imeshika kasi na kila sehemu ya Tanzania inakua....
bado tatizo lipo katika elimu ,teknolojia, utawala na utungaji wa sera lakini naamini tutafika tu
 
Haya, sasa comment Na hii basi, Mombasa road, 35km of serous business, one of my favourite highways..

 
Haya, sasa comment Na hii basi, Mombasa road, 35km of serous business, one of my favourite highways..


Dar es salaam Aerial view(Sam Nujoma/ Mandela road) ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania kama Mombasa Road na bado sijaunganisha na Morogoro Road

 
Sasa bahari ndo utofauti wenyewe... Dar inaweza kuwa na kila ambacho Nairobi inacho. Ila Nairobi haiwezi kuwa na kila ambacho Dar inacho.
Lakini bahari haipo dar peke yake. So sio kwamba ni kigezo cha maendeleo
 
Sasa bahari ndo utofauti wenyewe... Dar inaweza kuwa na kila ambacho Nairobi inacho. Ila Nairobi haiwezi kuwa na kila ambacho Dar inacho.

dar kuna bahari wakati nairobi kuna mbuga ya wanyama hivyo vyote vina upekee wake ingawa kwa tabia za waafirka wengi ,bahari ni tamu zaidi
 
Darasaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Haya, sasa comment Na hii basi, Mombasa road, 35km of serous business, one of my favourite highways..


lets not have short memories bro! lets keep away from threads started by these bongolalas whose aim is seeking orgasm kick!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…