pole yao!
I think haya sio mashindano, just getting to know the other side of the boarder!
Ukiona Kibera, Tandale, Mikoroshini ni sehemu tu ya ku-appreciates changamoto za matabaka ya kiuchumi ktk majiji yetu!
Utakua hujanielewa, sijasema Kenya hamna opportunities, zipo na huwa tunazichangamkia balaa. Tungelala basi nchi yetu ingekua nyuma ya Tanzania kwa kila kitu, maana kainchi ketu kadogo na hakana raslimali nyingi lakini tunaongoza ukanda wote huu kwa elimu, kiuchumi, miundo mbinu, kimichezo na kila kitu. Hiyo ni kwa sababu huwa tunachangamkia fursa kwa kujituma.
Ninachokisema ni kwamba, Bongo fursa nyingi mnaziacha zinaelea tu. Unakuta mtu anafanya kazi ya ulinzi mjini Dar halafu anakuambia kwao Usukumani ana ardhi kubwa sana, sasa unabaki kushangaa kafuata nini. Ukisafiri kwa bus Tanzania unaona maeneo makubwa hayajalimwa yameachwa tu wazi, ilhali kila siku kwenye runinga zenu migogoro ya ardhi ndio habari.
Tanzania nimeishi, nilichangamkia fursa na kutengeneza hela kiulaini sana.
Ahsante kwa kunikumbusha kurejea mstarini!
Sorry kwa kuwatoa nje ya mada!
Naomba wekeni na worst parts za miji yenu!
Sampuli za Kwa Mtogole na kibera ili tuone na the other sides za miji yenu!
HahahaNgoja tutembelee kitongoji maarufu cha Kibera kwa kutumia drone
Microdrone innovations
Flying Around Kibera Slum. Nairobi, Kenya
Kibera is one of Africa's oldest, largest slums, located just five kilometres from Nairobi city centre, and home to more than 170,000 people.
hahaaaa si mnaiita virgin land of opporunities lakini pia uliinvest kwenye kiswahili maana unajitahidi kiukweli kuliko wakenya wengineo humu jukwaani
BACK TO THE TOPIC
nilikuwa naongea kwa ujumla katika hilo pia, huwezi kupinga suala la opportunities katika Tanzania maana naweza nakakuuliza unitajie sehemu gani Tz ambayo sizo potentual na usilifanye hilo ila vipi kuhusu Kenya maana wananchi wamebanwa kila kona kutokana na private ownership of land hadi wengine wanaondoka kwenda nje kutafuta maisha ( hii huwasaidia kupata mitaji ya kuwekeza tena Kenya).
ahsante pia kwa kujua nchi yenu haina rasilimali kama Tanzania lakini hilo ni zao la ubepari na ni lazma uwarithishe watoto wako kaka
pia hali ulioisema ipo sana (hata mimi hunikera sana ) na hii ni kutokana na mindset za watu kuwa huwezi ukatoboa ukirudi shambani ( hapa iondoe kilimanjaro na kagera maana huko kuna vijiji bora na watu wanaishi maisha ingawa sio poshy lakini ni discent)...
sababu kubwa ilikuwa ni inaccessibility of rural areas , ujamaa uliizima spirit ya kujitafutia maisha, life was too easy to depend on a working population, addition of value to the raw products was a myth to many na pia agriculture was mainly controlled by peasants who were uneducated so,it was hard for them to bargain for their crop's reasonable price against private buyers... hakuna kijana ungemuambia alime back in 2005
njoo kwa sasa Tanzania maana vijana wasomi wameshaona potentual katika kilimo na biashara na hapa siongelei mambo ya kusikia ni reality ninayohusiana nayo katika maisha hivyo ,the whole scene is still changing lakini uslow bado upo lakini naamini utakuja kwisha pale kutakapokuwa na stiff competition kama ya kibepari maana kwa sasa bado tuna ile hali ya kufanya kitu kwa mazoea yaani mteja unauziwa kitu as if hautolipia hiyo huduma
New houses built under KENSUP handed over to 800 Kibera residents remember there are 170,000 residents in Kibera
hapo umeonesha tu kitu kimoja kinachojirudia rudia nacho ni barabara za juu kingine hapo hamna....kwa mpangilio wa majengo nairobi ni zeroHao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
Hao hawajaipata Nairobi vizuri, yaani hauwezi ukadharilisha Nairobi kwa kuilinganisha na Dar, labda Mombasa ndio level ya Dar. Cheki hii video ndio upate muziki wa Nairobi
achana na huyu mpumbavu patriotism imemfunga macho haoni jinsi Kenya inavyozidi nchi zote za afrika mashariki....hapa pengine useme ethiopia tu ndio wanaojaribu tanzania compare na somalia, rwanda na uganda sio kenya...we are not in the same levelAcha kujishaua wewe. Kenya imeendelea kivipi? Kwanini unatoa mate kwa mali ya wengine? Mali za Tanzania ni za watanzania na vizazi vijavyo. Kama nyie mmeharibu nchi yenu na hatimaye kuwa jangwa ni kwa sababu babu zenu walikuwa wajinga wasio fikiria vizazi vijavyo. Kwa hiyo acha kujishaua.
Hukuna chochote utasema mmezidi Dar zaidi sana Dar imewazidi. Acha kuwa na uchu wa fisi.
Braza kwa ile video ametuma motochini kwenye Uzi wa public transport.. Av done with you Kenyans.. I have been surprised, sijuwahi fika mathare na kibera I always hear. But In fact it is a painful thing.achana na huyu mpumbavu patriotism imemfunga macho haoni jinsi Kenya inavyozidi nchi zote za afrika mashariki....hapa pengine useme ethiopia tu ndio wanaojaribu tanzania compare na somalia, rwanda na uganda sio kenya...we are not in the same level
you need a psychiatristBraza kwa ile video ametuma motochini kwenye Uzi wa public transport.. Av done with you Kenyans.. I have been surprised, sijuwahi fika mathare na kibera I always hear. But In fact it is a painful thing.
Wewe si umesema hutaki kuchangia. Kinakuuma nini!!? Nadhani una roho ya shetani.Hey tupia picha za ushirikina Na watanzania Wala albino usikie Kimya hapa.......
Wewe si umesema hutaki kuchangia. Kinakuuma nini!!? Nadhani una roho ya shetani.
Wewe si umesema hutaki kuchangia. Kinakuuma nini!!? Nadhani una roho ya shetani.
Kiswahili ni lugha ya taifa Kenya, kipo kwenye katiba na pia tunajifunza kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu, na kinatumika mitaani, lakini ni kwamba Wakenya tunapenda kutumia lugha nyingi zikiwemo zetu za asili na pia Kingereza. Huwa hatuoni busara ya kukombwakombwa kwenye kapu la lugha moja.
Haafu huwa sielewi hiki ambacho huwa mnasema ardhi ya Kenya imemilikiwa na watu wachache, juzi hapa kwa miaka mitatu tu, serikali impokeza hati miliki zaidi ya milioni mbili. Ndio kuna watu wachache wamemiliki maeneo makubwa lakini ukilinganisha na nchi, unakuta haipo kama vile nyie huitangaza eti wamemiliki nusu ya nchi.
Wakenya tumewekeza kwenye nguvu kazi, na ndio maana unakuta Makampuni ya Kitanzania yanawalipia Wakenya vibali vyenye gharama sana ili kuja na kufanya kazi huko. Yaani hata tukiwa kwenye vikao Dar, huwa rahisi sana kumtambua Mkenya kwa jinsi anavyofuatilia masuala ya muda, timelines, milestones, makataa (deadlines) n.k.
Watanzania wachache ambao wameanza kuupokea mfumo wa kibepari kwa moyo mmoja wanajituma balaa, na ndio hotuba za rais wenu. Nilikua namtazama Magufuli akiwahutubia wananchi kule Kagera, yaani alionekana mwenye kumaanisha sana akihamasisha umuhimu wa watu kufanya kazi. Kila alichokisema kilikua na uzito na nilipenda sana, lakini baadaye kuingia kwenye Facebook nikakuta mnaponda balaa, yaani mumechagua maneno machache aliyoyasema mabaya na kukomaa nayo. Watu mpige kazi, viwanda hatavianzisha yeye, ni nyie wenyewe.... Kenya sisi tuliamua hatutaishi maisha ya kulaumu laumu.
Why are you surprised and pretend to be remorseful when that is the life of all Bongos?Braza kwa ile video ametuma motochini kwenye Uzi wa public transport.. Av done with you Kenyans.. I have been surprised, sijuwahi fika mathare na kibera I always hear. But In fact it is a painful thing.