kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
njoo nikuchape kidogo kwa nyuma....utapata jibu Mimi ni nani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ni shoga???? Maaajabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo nikuchape kidogo kwa nyuma....utapata jibu Mimi ni nani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ni shoga???? Maaajabu.
njoo nikuchape kidogo kwa nyuma....utapata jibu Mimi ni nani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yesterday while you were enjoying my "fimbo" when i kicked you from behind,you never said such words.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sorry i don't talk to homosexuals
Poa, kwa kweli sio rahisi kupata Watanzania 'asili' wenye kupanga mada jinsi ufanyavyo, yaani kupata Mtanzania ambaye hajachakachuliwa, hajasomea nje ya nchi halafu awe na uwezo huo.
Ni kweli nchi zetu hizi zinapiga hatua, na ifahamike kadiri Tanzania inapaa, ndivyo na Kenya inatoweka. Wakiamka leo waasisi wetu kutoka makaburini watashangaa na kuomba bora wazidi kuendelea kufa huko waliko.
Kenya ya leo sio ya hapo awali, tumefaulu kuthubutu, hata uwekezaji wetu nje ya nchi hususan ndani ya Tanzania umeongezeka maradufu.
Tanzania hata kama mnaendelea, lakini binafsi huwa nahisi bado mpo too slow, kila nikija Bongo na kuona fursa za uwekezaji zilizopo huwa nabaki kuwashangaa mbona mpo mpo tu na hamzichangamkii. Hiyo Mwanza unayotaja leo, nimesema mara nyingi kwamba ina uwezo wa kuwa mji mkubwa zaidi ya miji yote Afrika maana imebahatika kupachikwa katikati ya mataifa ya Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi kiasi kwamba mkiamka toka kwenye usingizi, mnaweza kufanya huo mji kuwa kitovu cha hizo nchi zote. Lakini leo hii naona mnakurupuka mara uwanja wa kimataifa Chato mara huku mara kule, hamjakaa na kuandika mikakati ya nchi.
niko poa mkuu....kheri ya mwaka mpya na kwako pia....kadoda11 kwanza za mwaka mpya
Hii hatari!!!!
Da! Kuna huyu @bulldog na Askari Kanzu hawa watu sijui nini kimewakutaniko poa mkuu....kheri ya mwaka mpya na kwako pia....
najaribu kuwaonyesha hawa madogo wa kikenya waliojiunga juzi ktk hivi forum kwamba mimi ni mmoja wa magwiji wa kufanya mijadala ya kihuni linapofika suala la Tz vs kenya.
anyaway nisalimie gwiji askari kanzu popote utakapo muona.
nadhani wapo ila wameamua tu kupumzika kama Mimi nilivopumzika 2015-2016....ipo siku watarejea....hivi brother geza na kimweri wapo?....Da! Kuna huyu @bulldog na Askari Kanzu hawa watu sijui nini kimewakuta
Utakuwa mchaga wa RomboNairobi ni super saaana.
Drone view never dissappoint, ila to be honest Dar is catching up very fast, Nairobi ikizubaa inapitwa! Hiyp drone view ya Dar ni shida.
Nairobi ilikuwa inaipita Dar miaka ya tisini lakini sio sasa. Sasa hivi Nairobi inashindana na Mwanza au Arusha.Dar bado ,ni kama mtoto mchanga ananza kutambaa. Nairobi ni baba yao .kwanza project kibao zinashugulikiwa joo
Mkuu umenena,ukiangalia mandhari ya bahari,mazingira Dar inatisha. Na skylines Dar ni nyingi kuliko Nairobi na bado inaonyesha Nairobi kuna majengo mengi mafupi mengi huku yale marefu ni ya kuhesabu.Ukiangalia maeneo ya makazi yalionesha ni ya kisasa pia yanavutia.i've never been to nairobi hivyo,judgement yangu ni kutokana na drones videos
1. skyline
dar skyline is more denser than nairobi yaani nairobi ina spaces nyingi sana kuliko dar hivyo,kwenye videos ni kama dar ina majengo mengi ingawa hayajapangiliwa ama kubuniwa vyema for a modern city compared to nai.
2. infrastructures
hapa nairobi imeipiga dar si kwa barabara ama city parks, nairobi imekua juu kwa hili na ndio maana ulitaka kulidhihirisha hili kwa kutupia video ya pili ingawa haijalionesha jiji vizuri kama ile iliyotangulia.
3.Growth
hapa ukiangalia katika videos utaona dar kuna majengo mengi ambayo hayajaisha na mengine yakijengwa ukilinganisha na Nai hivyo, nai ifunge mkanda ikaze na kamba ama ifate nyayo ichane msamba, ifunge mkanda ipasue anga, dar tunasemaga chambua kama karanga ( sorry nina darassa muziki fever)
Ahahah ukiangalia hicho kijiji chenu cha Nairobi skyscraper ziko mbili na zaidi old school fashioned hata hiyo mpya muundo wake ni kama majengo ya miaka sabini.Kwi kwi Kwi! imepata Skyscrapers tatu ikadhani imefika ligi hata ya Maputo. Jiji linakaa Kabul...
Kama sio Mkenya au basi utakuwa uko kijijini huelewi lolote unalima. Dar ndio top kwa hii Afrika Mashariki. Nairobi ilitisha miaka ya tisini kurudi nyuma kabla ya Dar ku raise miaka ya 2000.Ahahaaaa hakiumi kama kipo. Tuupende kuusikia ukweli jamani.
Dar na Nairobi wapi na wapi
Endelea kukaa kijijini kwako mkuu usije ku comment pumba. Kila taifa lina watu wenye tabia zakeMkuu hoja zako ni zenye mashiko na unazungumza reality na ss watanzania ukweli utatuweka huru wakenya wanatuzidi kwenye karibia sector zote huwezi kucompare elimu ya tz na kenya,leo mtz akija kununua bidhaa mfano dawa atasema naomba ya kenya au ya india cha kwetu hatukithamini.
By the way nairobi bado ipo mbele compare na dsm japo jiji la dsm linakuja kasi sanaaaa wakenya mjipange.
They're both good cities but I chose Dar bcs hakuna ubaguzi wa kijinga like Nairobi
Ahahah ukiangalia hicho kijiji chenu cha Nairobi skyscraper ziko mbili na zaidi old school fashioned hata hiyo mpya muundo wake ni kama majengo ya miaka sabini.
Mna kazi sana kuifikia Dar. Majengo/skyscraper nyingi za Nairobi zinafanana urefu na zile za Kariakoo
Govi Depay.. As u may be aware.. Out of 3.2mn Nairobi residents, 2.5mn reside like bacteria in Kibera.. yet u and your leaders(incompetent tribalists thugs brag of Nairobi..), .Kuna ubaguzi wa binadamu. watu wanaishi kama panya uko Tandale. Angalia....
View attachment 454421