Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana.

Walikamatwa ni pamoja na Baunsa wa aliyekuwa Mbunge Kawe, Halima Mdee na wengine wawili ambao wamekamatwa kuzuia vurugu zinazopanga kufanyika.

Kamanda Mambosasa amesema watu hao walikamatwa wakiwa katika vikao vya kupanga vurugu hizo ambazo zimepangwa kufanyika leo.

Waliokuwa wanatakiwa kuandamana wametakiwa kuchoma matairi barabarani, kuchoma magari, vituo vya mafuta na masoko wameahidiwa pesa.

Pia watu wanaotumika kushawishi wanaambiwa wawatafute vijana wasio waoga, wanaotumia dawa za kulevya.

PIA SOMA:
= > Uchaguzi 2020 - ACP Mambosasa: Tunawashikilia Mbowe, Lema na Boniface Jacob kwa kuhatarisha maisha ya Raia na mali zao
Ķ
CHADEMA ni wapumbavu na malofa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mimi naona hilo la mapumbavu na malofa bado ni dogo kwao .Wanastahili makubwa zaidi ya hayo.
 
Huyu Mambosasa mbona ni mpuuzi sana!! Hivi kamanda wa polisi unawezaje kutoa kauli kama hii?!!

Yaani unasema wanatafuta vijana wanaotumia madawa ya kulevya?!!

Yeye kama kamanda wa polisi ambaye ana jukumu la kuzuia matumizi ya madawa ya kulevya anafanya nini hadi hao vijana wanakuwepo mkoani kwake?

Tuliambiwa awamu hii imetokomeza 'wauzaji wa madawa', haya yanayotumiwa na hawa vijana yametoka wapi?!!
Bangi linatembea sana tu. Hujui bangi ni madawa ya kulevya
 
Ķ

Halafu mimi naona hilo la mapumbavu na malofa bado ni dogo kwao .Wanastahili makubwa zaidi ya hayo.

Ni wa kupuuzwa tuu hawa, kama walivyopuuzwa tarehe 28 October, wakapuuzwa tarehe 2 November.... na wanaendelea kupuuzwa
 
Back
Top Bottom