Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanabodi.
Mkoa wa Dar es Salaam umetajwa kuwa unaongoza kwa vitendo kuwa na vitendo vingi vya wanawake kuwapiga waume zao.
Hayo yamebainishwa na Utafiti uliyofanywa na Kituo cha Haki za Binadamu na Utawala Bora (LHRC) dhidi ya ukiukwaji wa haki za kijinsia.
Asilimia 5.5 ya ugomvi wa wana ndoa Dar es Salaam ni wanawake wanawapiga waume zao, inasemekana imefikia wakati wanaume wanaziona nyumba zao sehemu hatari.
Angalizo wanaume wenzangu tupambane tunadhalilishwa na wake zetu.