Dar es Salaam yaongoza kwa wake kupiga waume zao

Dar es Salaam yaongoza kwa wake kupiga waume zao

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanabodi.

Mkoa wa Dar es Salaam umetajwa kuwa unaongoza kwa vitendo kuwa na vitendo vingi vya wanawake kuwapiga waume zao.

Hayo yamebainishwa na Utafiti uliyofanywa na Kituo cha Haki za Binadamu na Utawala Bora (LHRC) dhidi ya ukiukwaji wa haki za kijinsia.

Asilimia 5.5 ya ugomvi wa wana ndoa Dar es Salaam ni wanawake wanawapiga waume zao, inasemekana imefikia wakati wanaume wanaziona nyumba zao sehemu hatari.

Angalizo wanaume wenzangu tupambane tunadhalilishwa na wake zetu.
 
Mtakoma hameni huko Dar jamani mtauwawa njoon Iringa ukimuudhi tu mwanamke anajinyonga,hakuna kupiganapigana huku
 
Tena akirudi kalewa ndo rahisi kumdunda....akiamka manundu hahahaaa
 
Dah inasikitisha kweli ila mi kwangu kazi ipo nina mkanda mweusi wa kun fu wushu labdla atafute mawe na mwiko ha ha ha ha ha ha ha
 
na asilimia zilizobaki, yaani asilimia 94.5 zinahusu nani kumpiga nani?
 
Dah inasikitisha kweli ila mi kwangu kazi ipo nina mkanda mweusi wa kun fu wushu labdla atafute mawe na mwiko ha ha ha ha ha ha ha

kung fu yako ni batili kama vyeti vya Lukuvi kama hata mwiko na mawe hujajifunza kutumia
 
Dah inasikitisha kweli ila mi kwangu kazi ipo nina mkanda mweusi wa kun fu wushu labdla atafute mawe na mwiko ha ha ha ha ha ha ha

kung fu yako ni batili kama vyeti vya Lukuvi kama hata mwiko na mawe hujajifunza kukabiliana navyo!
 
Kila shm sasa kuna uamsho
wake kupiga waume
watz kuikataa ccm
wazenji kuukataa muungano ........
 
na asilimia zilizobaki, yaani asilimia 94.5 zinahusu nani kumpiga nani?

Hii ni sawa na samaki! Binadamu anavyomla samaki hakuna anayelalamika lakini ngoja samaki amle binadamu, utaona checeh zinavyowatoka!!
 
Basi hamieni Kenya....

Wala msiwadanyanye, si Kenya si wapi mambo yaleyale! Hadi kufikia hatua mnapigwa na wakezenu ni lazima mtakuwa mnawafanyia vitu vibaya na vya kuwaudhi! Acheni kuwafanyia mambo mabaya sidhani kama watawapiga
 
Back
Top Bottom