Dar express anafilisika?

Dar express anafilisika?

wewe sio m2 wa Bukoba kweli?

Katika historia ya maisha yangu sijawahi kufika hata ukanda huo. Ila niulize tu kuhusu Morogoro, Dar Es Salaam, na Arusha.
Mikoa ya kusini nilipita kwa basi wakati nilipoanza kujifanya mtalii, katika nchi za kusini, ila utalii wangu hatimaye ukanifikisha hapa nilipo...Mkuu Mlachake nimeupenda utani wako kwa sehemu. Haya ndio mambo ya JF.
 
Kuna kampuni nyingene inaitwa Hai wafanya kazi wake nao wananyodo hujapata kuona...

Mkuu mimi si kampuni, ni mtu wa kawaida sana mtafuta maisha, mada hii naichangia kwa sababu leo imenihusu...acha niondoke kwani kadiri navyozidi kuchangia kuna ujumbe mwingine toka kwa "Mama Shaddai" jamani aliyeanzisha uzi huu kwa leo!!! "baba basi kidogo lianguke yamekosana mabasi matatu yaani nimeshtuka kupita kiasi mungu wangu" nimepiga simu tena anasema ni karibia na mahali panaitwa HEDARI sasa wanakaribia MOMBO mwendo ni kasi sana. Eeeeeeeeeee Mwenyezi Mungu waepushe na balaa za barabarani.
 
Mkuu mimi si kampuni, ni mtu wa kawaida sana mtafuta maisha, mada hii naichangia kwa sababu leo imenihusu...acha niondoke kwani kadiri navyozidi kuchangia kuna ujumbe mwingine toka kwa "Mama Shaddai" jamani aliyeanzisha uzi huu kwa leo!!! "baba basi kidogo lianguke yamekosana mabasi matatu yaani nimeshtuka kupita kiasi mungu wangu" nimepiga simu tena anasema ni karibia na mahali panaitwa HEDARI sasa wanakaribia MOMBO mwendo ni kasi sana. Eeeeeeeeeee Mwenyezi Mungu waepushe na balaa za barabarani.

Ni Hedaru we M-bukoba sio HEDARI.
 
Tangu amzike mkewe mwa jana bila ya kukosea mambo yake nayo ikaanza kuyumba ghafla bin fuuuu!!
 
Nataka kujua kama huyu Tajiri wa Kichaga kama anafilisika ama la maana kila uchwao anachemsha mara ajali mara moto funga kazi ni huduma mbovu kwenye gari zake, booking office zake (SHEKILANGO, UBUNGO,KINONDONI na pale KISUTU si kwa uchafu/mandhari wala kauli la wahudumu zake na hotelini kwake. Asipobadilika anapotea kwenye game kama mwenzake METRO/MSAE.


Mkuu SECRET, KUONESHA KWAMBA DAR EXPRESS WANA MATATIZO, GARI AMBALO NIMEKUWA NIKILIRIPOTI MARA KWA MARA, LILE LILILOONDOKA ARUSHA ASUBUHI NA KUEPUKA KUSABABISHA AJALI MARA TATU....NASIKIA HALINA SIDE MIRROR YA MBELE PALE KWA DEREVA NA KIOO CHA MBELE KIMEVUNJIKA KUTOKANA NA MSUKOSUKO AMBAO ULIKUWA UTOE ROHO ZA WATU. HIVI SASA. HIVI SASA NIMETUMIWA UJUMBE KATIKA SIMU YANGU YA KIGANJANI KUWA ABIRIA WAMEPIGA SIMU UBUNGO ILI DEREVA HUYO AKAMATWE....UJUMBE UNASOMEKA HIVI "imepigwa simu dereva akifika ubungo akamatwe na polisi kwa kuhatarisha maisha yamara kadhaa,dereva amesusa kuendesha gari tumesimama anasema bosi wake aagize dereva mwingine yeye basi na ameshaona abiria hawana imani naye" MWISHO WA KUNUKUU. MTUMA UJUMBE NI MKE WANGU AMBAYE ANASAFIRI NA BASI HILO...HIYO NDIO DAR EXPRESS!!
 
Mke wangu kanipigia simu yuko njiani kuelekea Dar akitokea Arusha...Kaondoka na Dar Express ya saa 4 kamili lakini anasema " Dad nimehuzunika sana kwani katika ticket wameandika saa 4 kamili, ila basi limeondoka saa tano na robo" huu ni ujumbe wa kweli na na akaendelea" Dad unajua nitafika Dar usiku, nampigia Vanessa aje kunichukua pale Ubungo. Gari lenyewe chafu, Lugha ya yule dada pale ofisini pia ilikuwa harsh imeniondolea mood". Nikampigia na kumtakia safari njema yenye uvumilivu na amani na maneno kidogo ya kimapenzi ili afarijike zaidi.... Kwa meseji hii ya leo kweli Dar Exp hawako vizuri. Ila nikalaumu rohoni kidogo...."kwanini asichague gari zuri, kwanini hakufanya online booking ya precision air ili asichoke sana...kuona tu wakwe?....atarudi lini? atakuwa salama? hajapoteza passport yake (hati ya kusafiria).........ni hii story ya usafiri kafiri na kwa kuwa imetokea kwa "my other half".

Mkeo anakuita 'dad'? Tafakari.
 
Uchafu na kufilisika ni vitu viwili tofauti! Dar express ana scania Marcopolo.Irizar pamoja na Benzi hana Mchina(yutong)

wewe wa wapi! ile ni service so customer care ni muhimu zaidi ya aina ya magari unayotaja
 
Tangu amzike mkewe mwa jana bila ya kukosea mambo yake nayo ikaanza kuyumba ghafla bin fuuuu!!

Tena nasikia baada ya wife kufariki, Mremi kavuta ka-bongo fleva kashike nafasi ya mke, nadhani ndiko kanamfanya ashindwe hata kufanya kazi na sasa anabaki kukalea tu.
Wazee wa kichaga siku hizi hupagaishwa sana na vimwana. We mwangalie Mengi na hapo sijamtaja Barlow!
 
Shida ya Matajiri wa Mabasi wa TZ kila mtu anataka kufanya biashara peke yake so hata ufanisi wake unakuwa wa shaka hivi ikatokea KILIMANJARO, MTEI & METRO wakaunda kapuni moja matata wakaiita ARUSHA ONE EXPRESS wakawa na meneja kama PRECISION (waazime hata kenya au South Africa) kwa muda then akawajengea jina la kampuni yao hapa tutasahau shida hizi za kung'ang'ania magari mabovu ya Dar Exp. Mzee Dar Exp. huyo binti na mauno yake atakuponza
 
Huyo mzee wa Dar express angekuwa amepeleka watoto wake shule - za kueleweka, sasa hivi biashara yake ingekuwa mbali. Umri wake umeenda, nguvu obviusly nayo inapungua and to make matters worse, mke wake ambaye alikuwa heavily involved kwenye hiyo biashara alikufa. Watoto wake are not up to the game.

Kwangu mimi ni jambo la kusikitisha sana maana watanzania tunashindwa kufanya kitu kikamilika. Tuliona kampuni ya Scandnavian ilivyokuwa inaenda vizuri lakini kwa sababu ya kutokuwa serious na biashara wabia wote wamechoka na biashara imekufa. Ni lini tutakuwa na makampuni ya wanaofanya biashara hizi za usafari wa mabasi kwa uhakika?
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho mkuu.. Kilimanjaro n Mtei yanahusika sana siku hizi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kwanza hayo magari ya mtei tajiri yao ni wivu mtupu ukishindana nae anaku uwa ni muaji mkubwa aliwahi kumu uwa mfanya biashara mmoja wa Katesh mwenye asili ya kisomali
 
Kwanza hayo magari ya mtei tajiri yao ni wivu mtupu ukishindana nae anaku uwa ni muaji mkubwa aliwahi kumu uwa mfanya biashara mmoja wa Katesh mwenye asili ya kisomali

haya wabongo na tuhuma nzito
 
BUS LA UHAKIKA DAR-ARUSHA ni MTEI na KILIMANJARO
 
Hahahahaaaaaa.... Mutu ya Bukoba....housegirl wangu ana Masters ya Nutrition....
 
Watu mnajuwa kufukunyua!! uzi wa 2012!
 
Kwanza ni wezi wakubwa mi nilisahau begi langu kwenye gari lao kesho wamenirudishia lina shati moja tu wamepiga mpaka chaji za sim mpaka pafyum hawafai kabisa hao watu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom