wewe sio m2 wa Bukoba kweli?
Kuna kampuni nyingene inaitwa Hai wafanya kazi wake nao wananyodo hujapata kuona...
Mkuu mimi si kampuni, ni mtu wa kawaida sana mtafuta maisha, mada hii naichangia kwa sababu leo imenihusu...acha niondoke kwani kadiri navyozidi kuchangia kuna ujumbe mwingine toka kwa "Mama Shaddai" jamani aliyeanzisha uzi huu kwa leo!!! "baba basi kidogo lianguke yamekosana mabasi matatu yaani nimeshtuka kupita kiasi mungu wangu" nimepiga simu tena anasema ni karibia na mahali panaitwa HEDARI sasa wanakaribia MOMBO mwendo ni kasi sana. Eeeeeeeeeee Mwenyezi Mungu waepushe na balaa za barabarani.
mkuu nashukuru kwa kunisahihisha mungu akubariki...ni hedaru we m-bukoba sio hedari.
Nataka kujua kama huyu Tajiri wa Kichaga kama anafilisika ama la maana kila uchwao anachemsha mara ajali mara moto funga kazi ni huduma mbovu kwenye gari zake, booking office zake (SHEKILANGO, UBUNGO,KINONDONI na pale KISUTU si kwa uchafu/mandhari wala kauli la wahudumu zake na hotelini kwake. Asipobadilika anapotea kwenye game kama mwenzake METRO/MSAE.
Mke wangu kanipigia simu yuko njiani kuelekea Dar akitokea Arusha...Kaondoka na Dar Express ya saa 4 kamili lakini anasema " Dad nimehuzunika sana kwani katika ticket wameandika saa 4 kamili, ila basi limeondoka saa tano na robo" huu ni ujumbe wa kweli na na akaendelea" Dad unajua nitafika Dar usiku, nampigia Vanessa aje kunichukua pale Ubungo. Gari lenyewe chafu, Lugha ya yule dada pale ofisini pia ilikuwa harsh imeniondolea mood". Nikampigia na kumtakia safari njema yenye uvumilivu na amani na maneno kidogo ya kimapenzi ili afarijike zaidi.... Kwa meseji hii ya leo kweli Dar Exp hawako vizuri. Ila nikalaumu rohoni kidogo...."kwanini asichague gari zuri, kwanini hakufanya online booking ya precision air ili asichoke sana...kuona tu wakwe?....atarudi lini? atakuwa salama? hajapoteza passport yake (hati ya kusafiria).........ni hii story ya usafiri kafiri na kwa kuwa imetokea kwa "my other half".
Uchafu na kufilisika ni vitu viwili tofauti! Dar express ana scania Marcopolo.Irizar pamoja na Benzi hana Mchina(yutong)
Tangu amzike mkewe mwa jana bila ya kukosea mambo yake nayo ikaanza kuyumba ghafla bin fuuuu!!
Kila lenye mwanzo lina mwisho mkuu.. Kilimanjaro n Mtei yanahusika sana siku hizi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwanza hayo magari ya mtei tajiri yao ni wivu mtupu ukishindana nae anaku uwa ni muaji mkubwa aliwahi kumu uwa mfanya biashara mmoja wa Katesh mwenye asili ya kisomali
haya wabongo na tuhuma nzito