M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
-
- #21
Anguko limetokana na kukosa msimamizi makini. Maana aliyekua anasimamia ipasavyo alikufa Mzee akaoa kabinti Ka 2000s hakana muda na biasharaUjio wa YUTON. Kampuni za usafirishaji zilizokuwa zikitumia Mabasi ya Scania yalipitia changamoto. Muulizeni Aboud atawaeleza hili vizuri. Dar xpress walichelewa kuliona hili. Na ndio limewagharimu.
Ile kampuni pendwa ya USAFIRISHAJI nchini inapumulia Mashine baada ya Mama wa familia ambae alikua msimamizi Mkuu wa biashara kutangulia mbele ya Haki (RIP) Miaka kadhaa iliyopita.
1. Mabasi chakavu,
2. Hotel Korogwe, huduma mbovu,
3.Ofisi ya Kisutu kufungwa.
**Wazee wa Kichaga kwann hamuhudhurii vikao? Dogodogo (Wadangaji) hatari sana kwa Afya ya Biashara ya familia
Kaamua kununua basi za mchina?Korogwe ama HIGWAY ni hoteli ya EXTRA LUXURY sio dar ex na ilishauzwa kitambo sana dar express kwa saaa amebaki na mabasi matano tu zhongtong 4 DWU na dragon Moja EDQ baasi.
Ndio alizobakiwa nazo scania kauza zoteKaamua kununua basi za mchina?
Wajasiriamali kutoka Asia wana nidhamu ya kazi/biashara zao binafsi, ndio maana wengi wanafanikiwa. Sisi waafrika wengi wetu ni wabinafsi. Wachache wanaweza kufanya hivyoWatu weusi sio wazuri kwenye kupokezana na kurithi shana kampuni
Mzee mremi wa dar express ameshfafikia umri wa kustaafu zamani sana.. alipaswa kumuachia mwanae aongoze biashara
Baba yake na mo dewji mzee gullam dewji bado yupo hai ila alishamuachia mo biashara zamani
Bakhressa nae hivyo hivyo
OkayWajasiriamali kutoka Asia wana nidhamu ya kazi/biashara zao binafsi, ndio maana wengi wanafanikiwa. Sisi waafrika wengi wetu ni wabinafsi. Wachache wanaweza kufanya hivyo