Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Huruma niliyo nayo siwezi hata mchapa mtu kofi naanzaje kuwaza kuchoma moto?

Ukute aliona sms ya mchepuko akimsifia alivyo mtamu😂😂😂😂😂
Kwani Gire mwenyewe si alikuwa mchepuko..!!?
 
Nimesema hivi Wachaga wana jambo lao na halijaisha tuwaache
 
Ivi nyie mnao generalise wachaga wana roho mbaya niwaulize kwani ni Wachaga wamechoma iyo nyumba? Mbona mnatuonea mimi hata siwafahamu ao ila mshanihusisha kweli hii ni sawa?
Kama ni mchaga we jua umehusika mkuu (umewakilishwa)[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Itabidi wanaume tutengenezewe vi Fire Extinguisher vidogo vya kukaa mfukoni.😂😂
 
Poleni sana wafiwa. Funzo kubwa sana tunapata hapa. USIRUDI KWA EX WAKO TENA MKISHAACHANA, NEVER, NEVER NEVER
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo neno kuna member kule kwenye Uzi wa Rikiboy(Masihara) alileta kisa chake akalitumia..Nimemsahau jina..

Kuanzia hapo likawa Maarufu humu JF..
😆
 
Huo ni mtazamo wako, kila mmoja anaamini kivyake ndugu!
 
Mwanamke akilipa kisasi dunia na watu wake huwa vinasimama kwanza kusikilizia uzito wa hilo tukio. Mwanamke majeruhi ni sawa na mbogo aliyechaji
Huo ni mtazamo wako, vizuri lakini. Mimi mbona huwa sisimami na kushangaa?
 
Makabila mengine ni ya ki$€nge sana!
 
Lipi hilo lingine kubwa???
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilitamani tu Tena na utoto ule ningekuwa neema Sasa hivi ila nilivokuwa nikasema kila mtu afanye atakacho no attachments at all.ukiona mkeo anakufumania ana kuvumilia be careful my friend wanawake sisi ni hatari mno
Acha kujisifia upumbavu ww, hatar ya nyoko au?? Hatar gani au kwa jambo gan jipya unajiita hatar? #HuoNiUshamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…