Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Jaribu kuelewa hapa Tanzania Rubani haruhusiwi kuendesha ndege akizidi miaka 65 ndiyo TAA Regulation zinasema hivyo ndiyo maana hao wamiliki wa Helcopiter ilibidi waombe waiver hivyo haijawahi kuendeshwa na Rubani wa miaka zaidi ya 65. By the way TZ marubani wa kiraia ni wengi sana wasiozidi miaka 65 nasikia Saccos hawajalipa pesa ndiyo maana walimiki wa Helcopitet wameanza kupiga chenga!
Kama hawajalipa hela ndiyo wanyimwe kibali na tcaa ?!. Hoja zako wasimulie wanao uwarithishe ujinga
 
Walishindwa nini kumwambia Omega Ngowi akawapeleka kibaha, kuna yule rubani aliyeishiwa mafuta nae yupo, ukienda terminal one kuna marubani chungu mzima
 
Lissu kakangu watoto wako bado wadogo kulelewa na baba wa kambo, shituka kaka, hawa wamachame sie tunawaita wapalestina watakutoa kafara
 
Kama hawajalipa hela ndiyo wanyimwe kibali na tcaa ?!. Hoja zako wasimulie wanao uwarithishe ujinga
Kibali cha kurusha hiyo Helcopiter wanacho tangu tarehe 4/09/2020 mpaka 30/10/2020 ila tatizo lao ni rubani. Pia wamiliki wa hiyo ndege hawakuwa na plan ya kupaa leo. Inaonekana Chadema hawakuambiwa hali halisi na mmiliki wa ndege kuwa wamenyimwa waiver ya kumtumia rubani aliyezidi umri wa miaka 65. Lakini nasikia tatizo lingine Chadema hawajamlipa pesa huyo mmiliki wa ndege hivyo amewapiga chenga ya mwili mpaka walipe advance. Chadema waishukuru TCAA kwa kukataa rubani huyo aendeshe ndege na kufuata sheria tuliojiwekea. Pia na shangaa kwa nini Chadema waliwadanganya watz kuwa ndege imenyimwa kibali cha kuruka wakati wakijua sababu ya ndege hiyo kutokuruka??
 
Lissu kakangu watoto wako bado wadogo kulelewa na baba wa kambo, shituka kaka, hawa wamachame sie tunawaita wapalestina watakutoa kafara
Tena Faru John na Mnyika walikuwa hawapandi hiyo ndege. Aishukuru sana TCAA!
 
Kibali cha kurusha hiyo Helcopiter wanacho tangu tarehe 4/09/2020 mpaka 30/10/2020 ila tatizo lao ni rubani. Pia wamiliki wa hiyo ndege hawakuwa na plan ya kupaa leo. Inaonekana Chadema hawakuambiwa hali halisi na mmiliki wa ndege kuwa wamenyimwa waiver ya kumtumia rubani aliyezidi umri wa miaka 65. Lakini nasikia tatizo lingine Chadema hawajamlipa pesa huyo mmiliki wa ndege hivyo amewapiga chenga ya mwili mpaka walipe advance. Chadema waishukuru TCAA kwa kukataa rubani huyo aendeshe ndege na kufuata sheria tuliojiwekea. Pia na shangaa kwa nini Chadema waliwadanganya watz kuwa ndege imenyimwa kibali cha kuruka wakati wakijua sababu ya ndege hiyo kutokuruka??
Nashauri tcaa wawashitaki mahakamani wawalipe fidia ya kuwachafua
 
Saccos ya propaganda iko kazini.
 
Tena Faru John na Mnyika walikuwa hawapandi hiyo ndege. Aishukuru sana TCAA!
Cha ajabu hata salum mwalimu hakuwa miongoni mwa abiria, halafu kutoka airport Hadi mlandizi upande ndege kweli? Sio bure kuna jambo
 
Kibali cha kurusha hiyo Helcopiter wanacho tangu tarehe 4/09/2020 mpaka 30/10/2020 ila tatizo lao ni rubani. Pia wamiliki wa hiyo ndege hawakuwa na plan ya kupaa leo. Inaonekana Chadema hawakuambiwa hali halisi na mmiliki wa ndege kuwa wamenyimwa waiver ya kumtumia rubani aliyezidi umri wa miaka 65. Lakini nasikia tatizo lingine Chadema hawajamlipa pesa huyo mmiliki wa ndege hivyo amewapiga chenga ya mwili mpaka walipe advance. Chadema waishukuru TCAA kwa kukataa rubani huyo aendeshe ndege na kufuata sheria tuliojiwekea. Pia na shangaa kwa nini Chadema waliwadanganya watz kuwa ndege imenyimwa kibali cha kuruka wakati wakijua sababu ya ndege hiyo kutokuruka??
Rubani wa Makamanda wachadema huyo!
download.jpg
 
Kitengo cha Habari cha CDM kina shida na sijui nikwanini kinafanya mambo yanayokidhalilisha Chama namna hii. Wanampa ugumu mgombea sijui ni kwanini.

Mwandishi wa taarifa ile ya CDM ni dhahiri hakuwepo eneo la tukio na alitoa taarifa isiyokamilika kwa Malengo maalumu ambayo hayawezi kufikiwa kwa mpango wa hovyo.
 
Back
Top Bottom