Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kama hawajalipa hela ndiyo wanyimwe kibali na tcaa ?!. Hoja zako wasimulie wanao uwarithishe ujingaJaribu kuelewa hapa Tanzania Rubani haruhusiwi kuendesha ndege akizidi miaka 65 ndiyo TAA Regulation zinasema hivyo ndiyo maana hao wamiliki wa Helcopiter ilibidi waombe waiver hivyo haijawahi kuendeshwa na Rubani wa miaka zaidi ya 65. By the way TZ marubani wa kiraia ni wengi sana wasiozidi miaka 65 nasikia Saccos hawajalipa pesa ndiyo maana walimiki wa Helcopitet wameanza kupiga chenga!
Chadema semeni ukweli hamjalipa nauli wacheni visingizio, washenzi nyieKumbe kibali walikuwa nacho
Mpuuzi wewe , kukosa hoja ni pamoja na kujihami na ukenya.Wameingiliwa na nani wewe Mkenya?
vitu vidogo hivyo chadema wana wananchi wa kutosha hawawezi kukosa pesa , za kuchangiwaTatizo saccos hawajalipa advance ya kukodi Helcopiter ndiyo maana wamiliki wa ndege wanapiga chenga!
Mnataka kumuua Lisu mpate visingizio, tutamlinda kwa nguvu zote uchaguzi ashindwe salama, hongera tcaa kumkataa rubani kikongwe,Kila chama ina mipango yake. Kwanini waingiliwe ?!
Walishindwa nini kumwambia Omega Ngowi akawapeleka kibaha, kuna yule rubani aliyeishiwa mafuta nae yupo, ukienda terminal one kuna marubani chungu mzimaKama hawajalipa hela ndiyo wanyimwe kibali na tcaa ?!. Hoja zako wasimulie wanao uwarithishe ujinga
Kibali cha kurusha hiyo Helcopiter wanacho tangu tarehe 4/09/2020 mpaka 30/10/2020 ila tatizo lao ni rubani. Pia wamiliki wa hiyo ndege hawakuwa na plan ya kupaa leo. Inaonekana Chadema hawakuambiwa hali halisi na mmiliki wa ndege kuwa wamenyimwa waiver ya kumtumia rubani aliyezidi umri wa miaka 65. Lakini nasikia tatizo lingine Chadema hawajamlipa pesa huyo mmiliki wa ndege hivyo amewapiga chenga ya mwili mpaka walipe advance. Chadema waishukuru TCAA kwa kukataa rubani huyo aendeshe ndege na kufuata sheria tuliojiwekea. Pia na shangaa kwa nini Chadema waliwadanganya watz kuwa ndege imenyimwa kibali cha kuruka wakati wakijua sababu ya ndege hiyo kutokuruka??Kama hawajalipa hela ndiyo wanyimwe kibali na tcaa ?!. Hoja zako wasimulie wanao uwarithishe ujinga
Tena Faru John na Mnyika walikuwa hawapandi hiyo ndege. Aishukuru sana TCAA!Lissu kakangu watoto wako bado wadogo kulelewa na baba wa kambo, shituka kaka, hawa wamachame sie tunawaita wapalestina watakutoa kafara
Nashauri tcaa wawashitaki mahakamani wawalipe fidia ya kuwachafuaKibali cha kurusha hiyo Helcopiter wanacho tangu tarehe 4/09/2020 mpaka 30/10/2020 ila tatizo lao ni rubani. Pia wamiliki wa hiyo ndege hawakuwa na plan ya kupaa leo. Inaonekana Chadema hawakuambiwa hali halisi na mmiliki wa ndege kuwa wamenyimwa waiver ya kumtumia rubani aliyezidi umri wa miaka 65. Lakini nasikia tatizo lingine Chadema hawajamlipa pesa huyo mmiliki wa ndege hivyo amewapiga chenga ya mwili mpaka walipe advance. Chadema waishukuru TCAA kwa kukataa rubani huyo aendeshe ndege na kufuata sheria tuliojiwekea. Pia na shangaa kwa nini Chadema waliwadanganya watz kuwa ndege imenyimwa kibali cha kuruka wakati wakijua sababu ya ndege hiyo kutokuruka??
Saccos ya propaganda iko kazini.Kibali cha kurusha hiyo Helcopiter wanacho tangu tarehe 4/09/2020 mpaka 30/10/2020 ila tatizo lao ni rubani. Pia wamiliki wa hiyo ndege hawakuwa na plan ya kupaa leo. Inaonekana Chadema hawakuambiwa hali halisi na mmiliki wa ndege kuwa wamenyimwa waiver ya kumtumia rubani aliyezidi umri wa miaka 65. Lakini nasikia tatizo lingine Chadema hawajamlipa pesa huyo mmiliki wa ndege hivyo amewapiga chenga ya mwili mpaka walipe advance. Chadema waishukuru TCAA kwa kukataa rubani huyo aendeshe ndege na kufuata sheria tuliojiwekea. Pia na shangaa kwa nini Chadema waliwadanganya watz kuwa ndege imenyimwa kibali cha kuruka wakati wakijua sababu ya ndege hiyo kutokuruka??
Cha ajabu hata salum mwalimu hakuwa miongoni mwa abiria, halafu kutoka airport Hadi mlandizi upande ndege kweli? Sio bure kuna jamboTena Faru John na Mnyika walikuwa hawapandi hiyo ndege. Aishukuru sana TCAA!
Sasa umeelewa, au niongeze sauti?Kwahiyo hawakuzuiwa? Sometimes msiwe wapuuzi kupita kiasi
Rubani wa Makamanda wachadema huyo!Kibali cha kurusha hiyo Helcopiter wanacho tangu tarehe 4/09/2020 mpaka 30/10/2020 ila tatizo lao ni rubani. Pia wamiliki wa hiyo ndege hawakuwa na plan ya kupaa leo. Inaonekana Chadema hawakuambiwa hali halisi na mmiliki wa ndege kuwa wamenyimwa waiver ya kumtumia rubani aliyezidi umri wa miaka 65. Lakini nasikia tatizo lingine Chadema hawajamlipa pesa huyo mmiliki wa ndege hivyo amewapiga chenga ya mwili mpaka walipe advance. Chadema waishukuru TCAA kwa kukataa rubani huyo aendeshe ndege na kufuata sheria tuliojiwekea. Pia na shangaa kwa nini Chadema waliwadanganya watz kuwa ndege imenyimwa kibali cha kuruka wakati wakijua sababu ya ndege hiyo kutokuruka??
JITU JINGAHuyo afisa aliyezuia hana jina?
Endelea kuweweseka.JITU JINGA
Unafikiri wote tuna roho mbaya kama mataga?Anza ulijaribu ukakatazwa?
Basi endelea na roho nzuri haki utapata mbinguni hapa gangamalaUnafikiri wote tuna roho mbaya kama mataga?
Nyie kama mmezoeya kutekana wafundisheni hiyo roho chafu watoto wenu ili wawe warithi wa kazi yenu.Basi endelea na roho nzuri haki utapata mbinguni hapa gangamala