Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Napenda siku moja kushuhudia uchaguzi huru na wa haki
 
NI WIVU TU
 
Mh Lissu tumia barabara tu..hao jamaa sio watu...Filikunjombe inakuja inakataa
 
kimbunga lissu 2020 , ni mashine ya mjerumani , siku moja tu ikiwashwa , inasaga kila kitu kinakua unga , upepo wake ukipita tu usipo jifunga taulo vizuri utashutuka imekwapuliwa, na mtu katupwa kule , kikipuliza kinapangua first eleven yote
Jamaa waoga sn yani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…