Dar: Hussein Ramadhani akamatwa kwa kujifanya Askari Polisi. Na Maila Majula akamatwa kwa kudanganya kaibiwa gari

Ila wenye pesa wana moyo.

Bosi unamtuma mtu akupelekee benk pesa zako shilingi milion 37.

Na mwingine nae kamtuma mtu ampelekee benk shilingi milion 10
Inashangaza sana
 
Ila wenye pesa wana moyo.

Bosi unamtuma mtu akupelekee benk pesa zako shilingi milion 37.

Na mwingine nae kamtuma mtu ampelekee benk shilingi milion 10
Ni ujinga tu,mimi hata 500K sikupi acha nife na changu nazipeleka mwenyewe!!!

Huyo Mndengereko ndiye hovyo kabisa,yaani umeshafika salama bank kwenye usalama kisha tena unatolewa na watu ambao huwajui huku una fuko la pesa za watu?akifanya mchezo kesi inamgeukia kwamba hakutapeliwa pesa ila aligawana na hao watu waliotajwa.
 
Wakuuu Katika taarifa za matukio ya Juzi nimesikia tukio la ndugu yetu mjita aitwaye Maira Majura mwenye umri wa miaka 38 ambaye alipewa milioni kumi na kaka yake ili azipeleke benki kwa kutumia usafiri wa gari aina ya IST ambayo pia ni mali ya kaka yake.
.
Lakini yeye alituma fedha hizo kwa matumizi yake na baadaye akaenda kuficha gari anakokujua yeye kisha akaenda kuripoti kituo cha polisi msimbazi kuwa alipaki gari hiyo mahali maeneo ya kariakoo akatoka kidogo lkn aliporejea hakulikuta.
.
Polisi walienda eneo alilotaja kupaki gari ndipo wakabaini ni uongo na alienda polisi akiwa analia.
.
Sasa Baada ya kubanwa ikabidi aeleze ukweli kuwa gari kalifisha na hela za kaka yake kazitumia kwa hiyo alitengeneza tukio la uongo ili aonekane kuwa kaibiwa.
.
Kwa tukio hili na matukio mengine, ndio maana wajita hawsaidiani. Niwatakie Usiku Mwema.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah huyu mwamba katisha sana
 
Dah huyu mwamba katisha sana
Lakini ujue matukio kama hayo hayaegemei kabila fulani ni utashi wa mtu binafsi.
.
Hivyo usiogope kumuamini au kumsaidia ndugu yako kwa kuwa tu Maira ameboronga.
.
Kila kabila lina watu wema na waovu ila tu makabila mengine yanazo njia za kimyakimya za kushughulikia ujinga kama huu ndani ya familia au jamii zao. Usikate tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upekuzi zadi ulimkuta akiwa na vifaa vimgine kama Buti za Jeshi la Polisi, kadi za Benki NMB na CRDB, kadi ya Mpiga kura na kadi za NSSF zenye jina la Florence Victor Kiondo ambazo zinachunguzwa jinsi alivyozipata na kuhusishwa na tukio la kihalifu. Hata hivyo kumbu kumbu zinaonesha mtuhumiwa huyo alishawahi kufungwa kwa makosa mbalimbali na taratibu za kisheria zina fanyika ili kumfikisha tena Mahakamani.
Nashauri sare za majeshi ziwe na usajili kutoka kiwandani kama ilivyo kwa chasis number za magari, hii itasaidia kuwabaini wanaogawa sare kwa wahuni
 
Wakuuu Katika taarifa za matukio ya Juzi nimesikia tukio la ndugu yetu mjita aitwaye Maira Majura mwenye umri wa miaka 38 ambaye alipewa milioni kumi na kaka yake ili azipeleke benki kwa kutumia usafiri wa gari aina ya IST ambayo pia ni mali ya kaka yake.
.
Lakini yeye alituma fedha hizo kwa matumizi yake na baadaye akaenda kuficha gari anakokujua yeye kisha akaenda kuripoti kituo cha polisi msimbazi kuwa alipaki gari hiyo mahali maeneo ya kariakoo akatoka kidogo lkn aliporejea hakulikuta.
.
Polisi walienda eneo alilotaja kupaki gari ndipo wakabaini ni uongo na alienda polisi akiwa analia.
.
Sasa Baada ya kubanwa ikabidi aeleze ukweli kuwa gari kalifisha na hela za kaka yake kazitumia kwa hiyo alitengeneza tukio la uongo ili aonekane kuwa kaibiwa.
.
Kwa tukio hili na matukio mengine, ndio maana wajita hawsaidiani. Niwatakie Usiku Mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maira = Kamasi ,what else did u expect?
 
Wamesutwa kila siku sasa wanajida kutoka kuonesha wako kazini. Tunataka wanao choma masoko moto.
Eti wanaturipotia Matukio ili tuone wapo kazini, tuhuma za rushwa, uonevu, dhuluma na mauaji haziwezi kuondoka kirahisirahi hivyo!
 
Mohammed Bakar aliyepigwa 37m imenikumbusha baba yangu mzaz naye alipigwa hivyo hivyo 15m yaani copy & paste kabisa,
 
Boss hawezi kufanya kila kitu mwenyewe
Huo ni mgawanyo wa majukumu sasa!
Na hapo ndipo uaminifu unatakiwa

Ova
Sio mgawanyo wa majukumu tu, mtu anaejielewa hapendi kukaa/ kutembea na hela nyingi. Ukiona mtu anatoa burungutu la hela kulipia labda bill ujue hajielewi/ ni mgeni wa hela.

Kuna siku nilienda kuchukua mil.640
Mwenye hela alikataa kupanda hiyo gari akaniambia tukutane sehem fulani!

Kutembea na hela nyingi ni stress na kifo ni sekunde tu"
 
Back
Top Bottom