Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo
Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp.
Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome ya wahehe wamefurahi sana mbwa zimechinjwa sana watu wamejinyonga kwa furaha (utani)
Wahehe na wakinga wamesema niwape taarifa kuwa wamefurahi sana wanasema ipo siku watatoa raisi kabisa.
Wakinga na wahehe ni wale wale hawana tofauti kubwa.
Huko vijiwe vya kariakoo wakinga nao wamefurahi kusikia mtu kutoka mkoa wao anakuja dar wamesema watapumua kidogo wakinga ndo wameliki wa kariako wakitoka waarabu ...wamemkubali chalamila
Ila chalamila aliwahi kuwa mwenyekiti wa ccm pia nakumbuka mwaka 2017 mkoa wa iringa hivyo kule wanampenda sanaa sema mlevi wa ulanzi huyo balaa.
Walevi wa dar nao wamefurahi sana maana chalamila nae ni mlevi kidogo basi walevi wa dar wamehisi wamepata mkuu wa wao mkoa kwenye mambo ya gambe.
Lakini dar ni mji matukio na chalamila ni mtu wa matukio, watu wa dar watu wa matukio hivyo wamepata mkuu wa mkoa wa matukio amsha amsha hakuna kulala umbea umbea mara kafukua mara katoe huku chalamila mzee mishe mara kafukuza huku mara kapiga wanafunzi viboko yaani dar itachangamka
Ndugu zetu panya road kwa bwana chalamila sidhani kama mtatoboa hiyo ni magufuli type leader kuweni makini.
😄😄Pia nashauri chalamila atembelee ofisi ya chadema imechoka sana nayo aanze nayo ihamishwe pale uswahilini inatia aibu mkoa wa dar😄😄kinondoni ufipa wananchi wanalalamika sana kuwa haiendani na ukubwa wa chama ni kero pale mtaani choo chao kichafu sana afu wanakodi helicopter badala ya kukodi ofisi mpya.