Cley madekaz
Member
- Mar 20, 2021
- 38
- 47
Jamani Dar haipitiki barabara karibu zote zimechimbuliwa sijui upite wapi.
Mwananyamala, Kilwa Road, Kawawa Road Bagamoyo Road na nyingine nyingi halafu ziko polepole sana haziishi.
Hivi mainjinia wetu hawawezi maliza moja wakafata nyingine? Ona hiyo foleni ya Kawawa toka Keko mpaka Magomeni ni shida sana.