Dar imechafuka, haipitiki. Ujenzi kila barabara

Cley madekaz

Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
38
Reaction score
47
Jamani Dar haipitiki barabara karibu zote zimechimbuliwa sijui upite wapi.

Mwananyamala, Kilwa Road, Kawawa Road Bagamoyo Road na nyingine nyingi halafu ziko polepole sana haziishi.

Hivi mainjinia wetu hawawezi maliza moja wakafata nyingine? Ona hiyo foleni ya Kawawa toka Keko mpaka Magomeni ni shida sana.
 
DMDP iendelee kutekelezwa kwa kasi
 
Stahamili tunajenga nchii wakandarasi wapo kazini japo hawamalizi, tatizo malipo
 
....Hiyo ya Migimigo-Keko ni balaa,Kimbembe upo kwa daradara ubebanwa na uharo au mkojoπŸ˜€πŸ˜€
 
Hata huko mbagala ni balaa... Foleni kutwa nzima.. na trafiki barabarani hawaonekani...
 
Dar ukijua chocho wala hauoni shida ya foleni, muhimu tu usiwe unaendesha ki-baby walker...
 
Ujenzi unaendelea ova[emoji23][emoji23]
 
ile ya mwananyamala kipande cha 1.4km inakata mwaka sasa
 
Hasa kawawa road siwaelewi kabisa...barabara limetobolewa tobolewa na kuisha haliishi[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…