princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Intelijensia haikufanya uchunguzi kutuma vijana walioshiba mana target yao ni mtu mnene😅😅 hivi kweli hawana weledi kiasi hikoSasa jamaa wameshindwa kumuingiza kwenye gari 😄 sijui wana enda kusema nini kwa walio watuma
Kipi Bora USHAHIDI au kuokoa maisha ya mtu mwerevu?Tumia akili wewe zuzu hakuna kitu kina wachukiza wahalifu kama ushahidi ....wangejua huyo jamaa anawachukua picha lazima wangeongeza nguvu zao zote kuakikisha wanammaliza na huyo
jambo la kwanza hakuna mtekaji kati ya hao. ni genge la visasi tu hilo dhidi ya dhuluma au madeniTlaatlaah Muda SI mrefu mtaanza kuokota mizoga ya mno watuma.
ni muhimu sana kuishi na watu vizuri, mtaani na popote pale.Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Sababu kuna vikundi vya maigizo mitaani hua wanapita kuigiza sasa hapo jamaa aliepita mfano kaona asiharibu scene labda huyo jamaa huko sio kwao walipomdaka kwa hio wote wameonekana waigizaji tuNmeshangaa sana, watu wapo tuu wanashangaa nao
KAz kwel kwel.Sababu kuna vikundi vya maigizo mitaani hua wanapita kuigiza sasa hapo jamaa aliepita mfano kaona asiharibu scene labda huyo jamaa huko sio kwao walipomdaka kwa hio wote wameonekana waigizaji tu
Endelea kujidanganyaMara paap...Ni episode tu la bongo movie... Mapovu yoooterrr...
🤣🤣🤣...
Tulieni kwanza wabongo...
Je,Huyo Mtu kajulikana?Endelea kujidanganya
Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
angalia alivyokaza misuli, kuteka binadam mwenzie akamuue as if yeye hatakufa. kiburi hiki kuna anayewapa lakini. samia.
kama kuna jambo wanamsaka, si wamkamate kisheria? unafika pale, umevaa nguo za kipolisi, unampa tuhuma yake, na kumwambia wende polisi kwa sababu upo chini ya ulinzi.Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.
Nje ya siasa uhalifu dhidi ya Taifa lako ni jambo la hatari kwa maisha yako. Mama mkanye mwanao mama mkanye mwanao.
Nje ya siasa nilazima kila Raia wa Taifa hili ajuwe yeye na kizazi chake crime is dangerous and it can end you are life.
Yaani mtu anatekwa mchana kweupe halafu raia wanatazama tu😬 Ubishi wa wabongo ni kwenye Simba na Yanga tuWakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Ila angalau aliyepiga picha na video katusaidia kuwajua..Tunasubiri ufanafanuzi wa jeshi la polisiNimpe pole jamaa kunasuka hapo, maana wange mu RIP, pili inasikitisha sana wabongo hawasaidii wanamuangalia mtu akiwa matatizoni, baadae watume RIP
Aisee jamii inahitaji revolution , hii ni zaidi ya ukondoo