Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Hawa walitakiwa kufa wote ili wangine wanao tumwa tumwa hovyo kwa tamaa zao akili ziwakae sawa. Hawa ndio wakupigwa kibiriti huku wakorekodiwa aiseee.inauma sana tanzania tunafanyiana ufedhuli kiasi hiki kisa madaraka na mali ambazo tutaziacha.

Huo mtaani unakaa wamekaa kama wasenge watupu

..huwezi kuwapiga kiberiti.

..ukiwazidi nguvu wanaita msaada wa Polisi.

..msiwalaumu raia, walaumuni VIONGOZI wetu wanaofadhili hilo genge.
 
Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.
Nje ya siasa uhalifu dhidi ya Taifa lako ni jambo la hatari kwa maisha yako. Mama mkanye mwanao mama mkanye mwanao.
Yu wapi Ben saanane?

Hatujasahau!
 
Kwa hiyo muhalifu ndiyo huwa anakamatwa hivyo.Mpuuzi mjinga mwili mzima wewe!
 
jambo la kwanza hakuna mtekaji kati ya hao. ni genge la visasi tu hilo dhidi ya dhuluma au madeni

Lakini jambo la pili,
ukiwa mkorofi na mbabe mwenye dharau mtaani hakuna atakae thubutu kusaidia hata wakukute umegongwa na gari unakata roho.

Jambo la tatu,
unaweza kua jeuri na mbabe kwenye eneo lako la kujidai na kuonea wanyonge wako. Nje ya hapo vitoto vidogo tu vinakutoa jasho jitu zima na miguvu yako. Mathalan huyo jamaa atakua anatetemeka na kuvibrate miguu kama kiswaswadu..

Ishi vizuri na watu,
achana na kumendea mendea vitu vya watu ikiwa ni pamoja na wake zao, acha dhuluma na ubabe ambao ni useless 🐒
Upuuzi!
 
Watekaji wameoneka vizuri sana ,nina imani hao ndiyo watataja genge zima la uhalifu na utekaji ulnaondelea nchini ,hao wamesema sisi ni polisi means kama siyo polisi basi hao ndiyo wanaoteka watu kwa kivuli cha polisi ,kwakuwa polisi washatoa press kama wanawatafuta means siyo watu wao maana tukio limetokea tangu tar 11.

Hao siyo polisi na wana pingu na bastola inaleta picha genge lao linahusika kuwamteka kibao ,sativa,deus soka etc

Hakika wasiojulikana washajulikana soon natarajia watakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ,hapa polisi ile tantalila ya uchunguzi unaendelea hatutaki kusikia picha jongefu zinaonyesha sura wazi na HD.
 
Wanaoteka wanajulikana na polisi hawana la kuwafanya. Huyo ahamie mikoani.
 
Back
Top Bottom