binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Wananchi si mngevunja gari? (Naongea hivi tu lakini mi ningekimbia) 🏃🏻♀️🏃🏻♀️
This is sad!
This is sad!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa walitakiwa kufa wote ili wangine wanao tumwa tumwa hovyo kwa tamaa zao akili ziwakae sawa. Hawa ndio wakupigwa kibiriti huku wakorekodiwa aiseee.inauma sana tanzania tunafanyiana ufedhuli kiasi hiki kisa madaraka na mali ambazo tutaziacha.
Huo mtaani unakaa wamekaa kama wasenge watupu
Alafu mnajidanganya Chadema itashika dola, kwa level hii ya unyumbu tusahau tu.. Mtu anapiga na kelele kabisa watu wamejificha, aisee inasikitisha!!
Nilimkubali sana yule Hamza the police hunter!Tukijifunza karate baada ya maghrib mnasema wavaa kobazi magaidi
Yu wapi Ben saanane?Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.
Nje ya siasa uhalifu dhidi ya Taifa lako ni jambo la hatari kwa maisha yako. Mama mkanye mwanao mama mkanye mwanao.
Umejuaje au na wewe ndio hao watekajiWatekaji hawateki hivi
Kwa hiyo muhalifu ndiyo huwa anakamatwa hivyo.Mpuuzi mjinga mwili mzima wewe!Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.
Nje ya siasa uhalifu dhidi ya Taifa lako ni jambo la hatari kwa maisha yako. Mama mkanye mwanao mama mkanye mwanao.
Inasikitisha sana.Kavaa hadi mabuti ili akateke watu.Mwingine kofia ili afiche komwe.Absurd!Kuna familia leo zimejua kwamba watoto wao wanafanya kazi za utekaji.. na chakula wanachokula ni DAMU za watu.
Serikali gani na wewe!? Yaani unaandika tu!Mmmmhhh aiseee, jamani, Serikali kamateni hawa watu wanaowakamata wananchi kwa namna hatari kabisa hii, hii sio sawa jamani
Rudia kuangaliaMbona nimeona wanafunzi tu na kina mama,..inawezekana wanaume hawakuepo.
Kafanya kazi nzuri tu.Wanaume wa Dar Wana ulakini mkubwa sana
Mchukua video alikuwa ka base kwenye tukio!
Kwanini asingepiga kelele huyu anaye rekodi kuomba msaada ?
Upuuzi!jambo la kwanza hakuna mtekaji kati ya hao. ni genge la visasi tu hilo dhidi ya dhuluma au madeni
Lakini jambo la pili,
ukiwa mkorofi na mbabe mwenye dharau mtaani hakuna atakae thubutu kusaidia hata wakukute umegongwa na gari unakata roho.
Jambo la tatu,
unaweza kua jeuri na mbabe kwenye eneo lako la kujidai na kuonea wanyonge wako. Nje ya hapo vitoto vidogo tu vinakutoa jasho jitu zima na miguvu yako. Mathalan huyo jamaa atakua anatetemeka na kuvibrate miguu kama kiswaswadu..
Ishi vizuri na watu,
achana na kumendea mendea vitu vya watu ikiwa ni pamoja na wake zao, acha dhuluma na ubabe ambao ni useless 🐒
Wanaoteka wanajulikana na polisi hawana la kuwafanya. Huyo ahamie mikoani.Watekaji wameoneka vizuri sana ,nina imani hao ndiyo watataja genge zima la uhalifu na utekaji ulnaondelea nchini ,hao wamesema sisi ni polisi means kama siyo polisi basi hao ndiyo wanaoteka watu kwa kivuli cha polisi ,kwakuwa polisi washatoa press kama wanawatafuta means siyo watu wao maana tukio limetokea tangu tar 11.
Hao siyo polisi na wana pingu na bastola inaleta picha genge lao linahusika kuwamteka kibao ,sativa,deus soka etc
Hakika wasiojulikana washajulikana soon natarajia watakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ,hapa polisi ile tantalila ya uchunguzi unaendelea hatutaki kusikia picha jongefu zinaonyesha sura wazi na HD.
Serikali? Hamnazo kabisa. Usiwe kama mfuasi wa Kibwetere.Mmmmhhh aiseee, jamani, Serikali kamateni hawa watu wanaowakamata wananchi kwa namna hatari kabisa hii, hii sio sawa jamani