Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Huyo dogo mwenye buti za depo kajianika sanaaaaa aisee..kuna mjanja mmoja yeye alikua kwa ndani tu anamvuta hajaonekana ila huyu daahh!! Yan sure hadharani hakyanani nchi hii na ukite litapita kimya kimyaaaa
Ukiangalia kwa makini mguu awake wa kulia utaona silaha kachomeka ndani ya buti.
 
Oneni pumbavu kama hili, mbwa kama hawa wako hài kwa sababu kuuwa ni jinai.
Wewe ndio una matatizo mkuu!!

Kupotea kwa watu kupo duniani kote SEMA ni vile hairipotiwi kama huku Africa na vyombo vyetu!

Wauza madawa na watakatisha fedha na wahujumu uchumi ni lazima kabisa kupotezwa !!

Sasa kama wewe ni muuza mitumba au muajiriwa unapotea kiss nini!!?
Nadhani tuendelee kuwajibika kisheria Kwa taifa tuache drama za uvunjifu amani na tutakua salama!!
 
Kufa kufaana Kitendo cha Deo Tarimo wa Kiluvya kushindikana kutekwa kumefanya Watu wengi kujisalimisha Gym Ili kujenga misuli ya miili yao

Kila gym kuna Ujumbe " Pambana kabla Hujapambaniwa" sijui hata wamekubaliana saa ngapi 🐼
 
Wewe ni takataka.
 
Njooni nyamongo mteke namna hii yale ya Zakaria yatakua madogo .
 
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa. Ni aibu kwamba hata ni Mtanzania mwenzetu
 
Kufa kufaana Kitendo cha Deo Tarimo wa Kiluvya kushindikana kutekwa kumefanya Watu wengi kujisalimisha Gym Ili kujenga misuli ya miili yao

Kila gym kuna Ujumbe " Pambana kabla Hujapambaniwa" sijui hata wamekubaliana saa ngapi 🐼
Jo katika picha mjongeo nimekuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…