Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Nje ya siasa nilazima kila Raia wa Taifa hili ajuwe yeye na kizazi chake crime is dangerous and it can end you are life.
Nimeweka hii video kuonyesha vile huko Kenya watu walikuwa wana uwawa live kwa uhalifu.
Hatuwezi kuruhusu Taifa hili kuwa lamajangili ni hatari kwa uwepo wetu. Uhalifu wa aina yeyote hauwezi vumiliwa. Yaani kama mnafikiri huyu mama mtamgeuza kama chapati basi msije jishangaa mkageuzwa kama chapati.
Wewe ni takataka tu, your days are numbered, damu ya Ben Saanane inakulikia na utakufa kifo kibaya sana.
 
relax gentleman plz plz,

ni muhimu ukaelekeza uerevu wako kwenye hoja mahususi mezani. It is very simple..

mihemko na makasiriko ni useless na completely nonsense 🐒
Ccm mpo nyuma ya kila utekaji katika nchi hii. Mnawatia tu laana watoto wa watu ya damu za watu kwa faida zetu. Alafu unajifanya wake za watu dhuruma uwe na aibu. Chutama tu
 
Wewe ni mbwa kabisa, huyo Deo ambaye ni victim anaishi Kibaha, na tukio limetokea Kiluvya.

Kama ccm kungekuwa na mtu mwenye akili hata chembe ungehoji walinzi wa hotel wako wapi na ungehoji cctv camera zioneshe tukio kuanzia mwanzo.
mkorofi, mbabe, mjeuri, dhulumati mwenye madharau huyo kila moja anamjua ukanda huo ndiyo maana hakuna aliethubutu kutoa msaada wowote kwake licha ya mayowe mengi sana aliyokua akipiga huyo muungwana mwanaume..

ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo ndiyo hiyo sasa 🤣

ishi na watu vizuri.
ubabe wa mtaani kwako ni fedhaha kwenye maeneo ya kujidai ya watu wengine.Acha dhuluma, acha dharau kwa mali na wake za watu 🐒
 
Ccm mpo nyuma ya kila utekaji katika nchi hii. Mnawatia tu laana watoto wa watu ya damu za watu kwa faida zetu. Alafu unajifanya wake za watu dhuruma uwe na aibu. Chutama tu
Nasisitiza kuishi na watu vizuri.

mbabe mtu mzima ananyanyaswa na vijana wadogo tu kwa mayowe ya kuomba msaada? kiburi na ubabe mwisho wake kwenu nje ya hapo utakutana na wababe watakudhalilisha kama muungwana alivyo dhalilishwa maskini ya Mungu 🐒
 
Situmii twitter, lete screenshot.
Screenshot_20241113-090631_X.jpg
 
nimesikia wanasema ."sisi ni maaskari"
kama ni maaskari kweli kwa nini wasingekuwa wanakwenda na difenda zao kwenye kukamata mtu ili kuondoa hizi sintofahamu ?
Halafu cha ajabu wakamuacha mtuhumiwa na pingu,
si angebaki hata moja wao hapo wakati wanaenda kuongeza nguvu
 
Wakuu,​

Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.

=====

Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;

"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.

Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."

Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Jamaa sura zao zimeonekana lakini naamini bado watawekwa kwenye kundi la wale wasiojulikana. Bongo nyoso!
 
Wakuu,​

Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.

=====

Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;

"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.

Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."

Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Hii hotel haikuwa na ulinzi wala wateja wengin?!!
 
Back
Top Bottom